imagine kuna kampuni unaifahamu na hakuna mtu unayemfahamu pale lakini unataka kuomba nafasi angalau ya kujitolea ili upate angalau uzoefu hebu tupeane mbinu unaanzaje kufika na kujitambulisha, na ukifika haswa unatakiwa umuulizie nani ambaye atakusimamia mpka upate hiyo nafasi tuu
maana picha huwa siku zote linaanzia getini unakutana na walinzi, ukitoka hapo unaaenda mapokezi hapo sasa ukiulizwa una shida gani tukusaidie hebu tupeane ujuzi jinsi ya kuvuka hili eneo maneno ya kutumia hadi ukutane na mabosi wenyewe