una umri gani huwezi kujieleza wewe Mkuu ? sasa unashindwa kuongea na mtu wa reception graduate mzima !!! na hata huyo mlinzi ni form four unashindwa kujieleza kwake ?
haya,ukifika nenda reception,hapo jieleze kama unavojieleza hapa na ikibidi omba kuonana na HR, hawang'ati watu huko ma-ofisini