Au n wachafuVitoto vya afu mbili ni kama vinajikojolea kitandani ukiloweka tu imoo
Mkuu ni kweli kama ukimwaga wadudu wa uti wanaingia kwenye njia ya mkojo na unapata utiSi kweli, tatizo liko kwenye kutanabaisha ulichokipata ni UTI au STI?
Ukikutana kingono na mtu mwenye STI utapata STI.
Ukikutana na mtu mwenye UTI hautaambukizwa UTI kwani hii si njia rasmi ya kuhamisha mdudu husika.
Hivyo, ndo maana ukisoma jinsi ya kujikinga na UTI utaambiwa:
1: Kunywa maji ya kutosha
2: jisafishe ukitokea mbele kwenda nyuma
3: jisaidie haja ndogo mara tu unapohisi hitaji husika
4: Hakikisha choo chako ni kisafi kwa matumizi ya dawa za kusafishia.
Jinai ya kujikinga na STI
1: Usijihusishe na ngono nzembe
2: Tumia kondom na kwa usahihi
3: Pata chanjo kwa magonjwa yenye chanjo(HPV &Hepatitis).
4: Fanya vipimo kutambua hali yako ya maambukizi ya STI
5: Kutojihusisha na ngono kabisa
6: Usijihusishe na ngono wakati ukiwa umelewa.
Una matatizo unajua🤣Nashindwa kuelewa
1.Usiende chumviniJf doctors nipeni muongozo wakuu, ukiachilia mbali UKIMWI ambao tunaweza jikinga kwa kuvaa condoms huu ugonjwa wa U.T.I hata ukivaa condom unaupata
Je ni njia gani sahihi ya kujikinga na huu ugonjwa yahivi hata ukikutana na mwenye U.T.I asiweze kukuambukiza
Natanguliza shukran
Kwa msingi wa ufafanuzi wako, njia nyepesi ya kusambaa kwa UTI ni anal sex?Jambo la kwanza naoma TUTAMBUE:
1: UTI: Urinary Tract Infection ( maambukizi ya njia ya mkojo).
2: STI: Sexual Transmited Infection(Maambukizi yatokanayo na tendo la ngono).
Hivyo, UTI si STI Kwani wadudu wanaoambukizwa kwa njia ya ngono wamejitanabaisha/kuwa na uwezo wa kuambukizwa kwa njia husika.
Na kila mdudu atakaeweza kuhamishwa toka mtu mmoja kwenda mwingine kwa njia ya ngono basi huwekwa kwenye kundi la STI.
Asilimia 80-90 (80-90%) ya maambukizi ya UTI yanatokana na mdudu aitwaye E.Coli ambaye huishi kwenye njia ya chakula. Hivyo, maambukizi yake hutokana na kuhamishwa/self contamination kutoka njia ya chakula/haja kubwa kwenda kwenye njia ya mkojo.
Utofauti uko:
1: Aina ya wadudu
2: Eneo linaloshambuliwa
3: Baadhi ya dalili
4: Aina ya tiba
5: Vipimo vya kutambua ugonjwa
usinichoshe we fuata maelekezoUmejuajee
mboga moja unaweza kuiunga kwa namna tofaut na bado ukaendelea ku enjoy acha tamaaMnapataje radha na mboga moja iyoyo kila siku wakuu
mhh hiyo no 2 kuna mtu anarudia cdm?1.Usiende chumbini
2.Kila ukimaliza round badiki condom
3.ukimaliza gemu,oga vizuri,kojoa sana,osha vizuri mwili wako wote.
4.patina wako pia aoge vizuri na hicho choo kioshe vizuri kwa detol
hakuna zaid ya hiyoTamaa ilimshinda Bada yetu Adam nitaiweza mie sheikhee, nipe mbinu ya kujikinga mkuu
Roho za mikosi nazo mnajikinga nazo vipi?Jf doctors nipeni muongozo wakuu, ukiachilia mbali UKIMWI ambao tunaweza jikinga kwa kuvaa condoms huu ugonjwa wa U.T.I hata ukivaa condom unaupata
Je ni njia gani sahihi ya kujikinga na huu ugonjwa yahivi hata ukikutana na mwenye U.T.I asiweze kukuambukiza
Natanguliza shukran
Tupomhh hiyo no 2 kuna mtu anarudia cdm?