Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Mna majini!Tupo
Mna majini!Tupo
Kivip mkuuMna majini!
🤷♀️Kivip mkuu
SIO WOTE BHANA WENGINE TUNAJITAMBUA VIZURI TUHVitoto vya afu mbili ni kama vinajikojolea kitandani ukiloweka tu imoo


Nimeipenda hiiJambo la kwanza naoma TUTAMBUE:
1: UTI: Urinary Tract Infection ( maambukizi ya njia ya mkojo).
2: STI: Sexual Transmited Infection(Maambukizi yatokanayo na tendo la ngono).
Hivyo, UTI si STI Kwani wadudu wanaoambukizwa kwa njia ya ngono wamejitanabaisha/kuwa na uwezo wa kuambukizwa kwa njia husika.
Na kila mdudu atakaeweza kuhamishwa toka mtu mmoja kwenda mwingine kwa njia ya ngono basi huwekwa kwenye kundi la STI.
Asilimia 80-90 (80-90%) ya maambukizi ya UTI yanatokana na mdudu aitwaye E.Coli ambaye huishi kwenye njia ya chakula. Hivyo, maambukizi yake hutokana na kuhamishwa/self contamination kutoka njia ya chakula/haja kubwa kwenda kwenye njia ya mkojo.
Utofauti uko:
1: Aina ya wadudu
2: Eneo linaloshambuliwa
3: Baadhi ya dalili
4: Aina ya tiba
5: Vipimo vya kutambua ugonjwa
Kwangu unakojoa kokote utakapo, Mafuta Mengi Condom sitaki na hupati U.T.I WALA S.T.D NG'OOJf doctors nipeni muongozo wakuu, ukiachilia mbali UKIMWI ambao tunaweza jikinga kwa kuvaa condoms huu ugonjwa wa U.T.I hata ukivaa condom unaupata
Je ni njia gani sahihi ya kujikinga na huu ugonjwa yahivi hata ukikutana na mwenye U.T.I asiweze kukuambukiza
Natanguliza shukran

Hongera yake kwa kweli anapumzi hataree 

Hivi wale ukiloweka tu U.T.I hiyoo huwa inakuwajeKwangu unakojoa kokote utakapo, Mafuta Mengi Condom sitaki na hupati U.T.I WALA S.T.D NG'OO
Tunafurah wote pamoja nafika kilelen naww pia ila Pesa iwe Mfuko wa Shati maana siyo Nakatika Kiuno kama Feni Mbovu halafu baadae unazingua
Mmh! Nikimkumbuka yule Mkaka wa Juzi jamani...... Yani siyo kwakunifanya hivyoo mtotto wa mwenzio jamani .Hongera yake kwa kweli anapumzi hataree
![]()