Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa tnapifarij 2 we kuachwa hakuna kuachwa gafla wala polepole.
Yan huu msamiati n hatari"NAOMBA UFANYE YAKO AU SIHTAJI KUWA NA WEWE"
Hata iweje vita ya moyo haiwez zuiwa na mazingira ya nje hata ck moja
Namba 1 inatosha sana.
vyote vyaumiza roho......
Nakwambia hv kibt iz anothe issue.otherwise ulikuwa umeegesha bt when you fal in love. no mata kakwambia kuptia rafk au direct au indrect maumiv yapo pale pale.
Wapendwa habari zenu,
I hope everybody enjoyed the weekend.
Nimekuwa nikijiuliza hili swali bila kupata majibu, naomba mnisaidie.
kwa mfano uko kwenye mahusiano na mtu wako halafu ikatokea unataka kuachana naye kwa sababu zozote zile. Je ni njia ipi sahihi ambayo wewe ungeitumia kufikisha ujumbe kwa mpenzio au wewe unaipenda njia ipi mpenzi wako aitumie kukufikishia ujumbe kuwa hayuko tayari kuendelea na wewe? Baadhi ya njia zifuatazo zimekuwa zikitumika na watu wengi:
1. Kunyamaza kimya na kukata mwasiliano bila kuongea chochote?
2. kumpigia simu mlengwa na kumwambia ukweli kuwa hauhitaji kuwa naye.
3. Kumtumia sms na kumweleza lililo moyoni mwako.
4. Kumfanyia vituko ili akate tamaa yeye mwenyewe.
Je njia hizo ni sahihi kutumiwa au huwa zinatumika kwa makosa? Tujadili kwa pamoja tuone ni njia ipi sahihi ya kutumia kufikisha ujumbe (ambao sio mzuri kwa anayeachwa). Au kama kuna njia nyingine basi be free kuiweka wazi kwa faida yetu wote.
FUNGUKA MWANADADA, FUNGUKA MWANAKAKA UWANJA NI WAKO!

Huwa unatumia namba 1!...............duuuuuuuu................umewahi itumia malangapi?
baada ya kumgegeda na kumchoka sasa hivi unatafuta mbinu za kumuacha ili uende kwa wengine,utazunguka sana lakin wako vile vile,hakuna tofauti
mie naona easy way ni wakati unamgegeda kwa mara ya mwisho muombe kabang...akikataa ndio hapo naposepa.
namuhurumia huyo anaetaftiwa kibuti duuuh!!
Kumpa makavu live utamuumiza sana hasa kama na yeye amekupenda sana, kukaa kimya ghafla pia itamuumiza sana. Jaribu kufanya vituko kidogo kidogo kila siku ukivizidisha , yani ya jana iwe afadhali kuliko ya leo ili achoke mwenyewe mdogo mdogo hadi aachie ngazi. Hii itamfanya awe ameshaanza kujitayarisha kisaikolojia na hivyo maumivu hayatakuwa makali kama ambavyo ungempa makavu live.