Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ukipiga kibuti , huwa unagawa cha mbavu au shingo dismynder1 ?
cha shingo ndio kizuri
unampiga mtu kibuti hata kugeuka
akutazame anashindwa hahaaa!!
ha ha ha ha ha!!!!! ila kibuti kibuti tu , hata utumie mistari ya celine Dion au ya Westlife au utumie swagga za kijeshi haibadilishi maana na maumivu ya kibuti yana-remain constant.
hahaaaa!!halohalo best inaonyesha
una uzoefu wa kupigwa vibuti eeeeee!!
Kama mlivyoanza..ila kuongea ndo mpango mzima!!!!!!!
Kama kuna sababu genuine sio kubwa ila kama ni maneno ya mujini ndo utaanza kutafuta njia!!!!!
Mfano; Nimeamua kumrudia muumba wangu kwa ibada na funga kwa hiyo siwezi kuendelea na zinaa!!!!!!!
Hapo nini mbaya!!!!!!
ha ha ha ha ha ha!!!!!!!!!!! ungejua ninavyoendeshaga mahusiano yangu , utajua sijaexperince vibuti kabisa , ila dah!!!!!
hebu niambi wewe umeshaliza wangapi kwenye maisha yako? ushawahi tishiwa kuuliwa wewe? au umeshawahi kutishiwa mtu anajiua?
dah!!sijaliza wengi ila sijawahi
kulizwa so hayo maumivu sijayasoma bado!
kwangu mimi kuna watu walishatishia kujirestisha in peace kisa penzi la asakuta same, lol! usipoexplore ujana wako unaweza kuaibika uzeeni aseeeh!!!!!
kujirestisha in pisi kisa nini
dushe au kipochi manyoya
thubutuuuuu!!
​nisalimie uendako mweeeeh!!!ha ha ha ha ha! kwaheri....:tape:
na iwe kweli umeamua kumrudia muumba sio useme hivyo ili tu muachane
by the way kama ulivosema unamueleza tu ya nini kuzunguka mbuyu