Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni vibaka.😂😂😂Kwa na hiyo ccm ni essential ?
Wazalendo kwenye ccm ndio wanayoweza kuking'oa madarakani. Kitu cha kueleweka hapa mlengo wa wahuni ccm ndio tatizo. Wamemuua au kufaidika na kufa kiongozi mzalendo na kutumia katiba kuchukua uongozi wa dola. Ikiwa wazalendo ndani ya ccm watashindwa kukidhibiti tena chama wakitoka na kuunda chama wanaweza kuing'oa ccm ya akina samia, nape makamba, rostam na wapigaji. Hawa kina samia makamba et al wanaweza kabisa kuiuza nchi.
Hatari sanaNi ngumu, hivi sasa wanayafanya maisha kuwa magumu sana ili kipindi cha uchaguzi wawapooze kwa kanga vitenge kofia na tshirt, kimtindo 2025 wataongeza dau kuwasahaulisha dhiki zilizopo
Ni wakati wa CHADEMA!Habari jf ,ni wazi kwamba tunahitaji mabadiliko nikiwa nna maana kuiondoa CCM madarakani ugumu unakuja ni njia zipi ? Na ni chama kipi ? Kiuhalisia kuendelea kuitegemea CHADEMA ni upotevu wa muda maana kina watu wengi walio pale kimkakati ukianzia Mwenyekiti .
NCCR Mageuzi ni better option ,Nguvu kubwa ikiwekwa katika Chama hiki hilo linawezekana -tatizo Chama hiki ni nusu mfu binafsi nnahitaji kadi yao ila hata sijui ntapata wapi .
Swali ni njia zipi ?
Je tudai kwa nguvu katiba mpya tupate tume huru ?
Je tutumie nguvu kubwa kila mtu atoe elimu ili watanzania wengi waikatae CCM na kazi zake ?
Je uwekwe mgomo baridi wa kutohudhuria au kutokufuatilia tukio lolote linalofanywa na CCM ?
Je tuhamasishane kwenda kupiga kura kwa wingi ?
Je tufunge na tumuombe Mungu aingilie kati ?
Habari jf ,ni wazi kwamba tunahitaji mabadiliko nikiwa nna maana kuiondoa CCM madarakani ugumu unakuja ni njia zipi ? Na ni chama kipi ? Kiuhalisia kuendelea kuitegemea CHADEMA ni upotevu wa muda maana kina watu wengi walio pale kimkakati ukianzia Mwenyekiti .
NCCR Mageuzi ni better option ,Nguvu kubwa ikiwekwa katika Chama hiki hilo linawezekana -tatizo Chama hiki ni nusu mfu binafsi nnahitaji kadi yao ila hata sijui ntapata wapi .
Swali ni njia zipi ?
Je tudai kwa nguvu katiba mpya tupate tume huru ?
Je tutumie nguvu kubwa kila mtu atoe elimu ili watanzania wengi waikatae CCM na kazi zake ?
Je uwekwe mgomo baridi wa kutohudhuria au kutokufuatilia tukio lolote linalofanywa na CCM ?
Je tuhamasishane kwenda kupiga kura kwa wingi ?
Je tufunge na tumuombe Mungu aingilie kati ?
Chadema hii hii ?Ni wakati wa CHADEMA!
UMOJA PARTY "CAUCUS"Habari jf ,ni wazi kwamba tunahitaji mabadiliko nikiwa nna maana kuiondoa CCM madarakani ugumu unakuja ni njia zipi ? Na ni chama kipi ? Kiuhalisia kuendelea kuitegemea CHADEMA ni upotevu wa muda maana kina watu wengi walio pale kimkakati ukianzia Mwenyekiti .
NCCR Mageuzi ni better option ,Nguvu kubwa ikiwekwa katika Chama hiki hilo linawezekana -tatizo Chama hiki ni nusu mfu binafsi nnahitaji kadi yao ila hata sijui ntapata wapi .
Swali ni njia zipi ?
Je tudai kwa nguvu katiba mpya tupate tume huru ?
Je tutumie nguvu kubwa kila mtu atoe elimu ili watanzania wengi waikatae CCM na kazi zake ?
Je uwekwe mgomo baridi wa kutohudhuria au kutokufuatilia tukio lolote linalofanywa na CCM ?
Je tuhamasishane kwenda kupiga kura kwa wingi ?
Je tufunge na tumuombe Mungu aingilie kati ?
Daaa kwamba CDM ni essential 😆😆😆Anakwepa kutumia maji wakati ni essential maishani.
Kuunda chama mara ngapi tena?Wazalendo kwenye ccm ndio wanayoweza kuking'oa madarakani. Kitu cha kueleweka hapa mlengo wa wahuni ccm ndio tatizo. Wamemuua au kufaidika na kufa kiongozi mzalendo na kutumia katiba kuchukua uongozi wa dola. Ikiwa wazalendo ndani ya ccm watashindwa kukidhibiti tena chama wakitoka na kuunda chama wanaweza kuing'oa ccm ya akina samia, nape makamba, rostam na wapigaji. Hawa kina samia makamba et al wanaweza kabisa kuiuza nchi.