Ni njia ipi itasaidia kuiondoa CCM madaraka 2025 ? Na chama kipi kiandaliwe kuchukua dola ?


Dawa yao ni hii
 
Ni ngumu, hivi sasa wanayafanya maisha kuwa magumu sana ili kipindi cha uchaguzi wawapooze kwa kanga vitenge kofia na tshirt, kimtindo 2025 wataongeza dau kuwasahaulisha dhiki zilizopo
Hatari sana
 
MAPINDUZI ila mbadala wake kichama haupo.
 
Ni wakati wa CHADEMA!
 
 

Attachments

  • C46701D5-1C68-407F-970B-B438A15DE930.jpeg
    134.4 KB · Views: 4
Hatari πŸ˜†πŸ˜†
 
Hatari πŸ˜†πŸ˜†
 
UMOJA PARTY "CAUCUS"
 
Kuitoa ccm madarakani hatuwezi, hilo lazima tuambiane ukweli na tulikubali baada ya hapo ndio tuangalie yapi tunayoweza kufanya.

Kuna vitu vyengine vinatushinda na wala havihitaji kufikiria kuitoa ccm madarakani sasa ndio tutaweza kuitoa ccm madarakani?

Hta kama tukilala na kuamka tukakuta ccm haipo madarakani na kuwepo chama chengine basi nadhani chamgamoto zitakuwa zilezile tu kwa jinsi ambavyo sie wenyewe tulivyo.
 
Kati ya wagombea wa upinzani wote na wa chama tawala, Mimi namuelewa Hashim Rungwe TU mzee wa mbweche, huyu anajali matumbo yetu, wengine wote wanajali matumbo yao.
 
Kuunda chama mara ngapi tena?
Si walianzisha UMOJA PARTY?!
Tatizo ni kuwa ccm na watu wake wote hawakubaliki. Labda waendelee kuiba kura tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…