KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Naomba mwongozo jinsi ya kuingia katika mbio za kuwatumikia wananchi wajimbo langu baada yakuona mbunge aliyekuwepo hana alichokifanya,Je ni njia gani za wazi nitumie ili niweze kuingia katika Kinyang'anyiro hicho??
Natanguliza shukran msinipopoe mimi nipo serious!
- Kwa sina pesa za kuhonga wajumbe mimi nina nia ya dhati ya kutaka kugombea na kuwakomboa wananchi wangu!
- Mimi nimwanachama ahi wa CHAMA CHA MAPINDUZI
- Je ni sahihi kutafuta nafasi ya uwakilishi Bungeni kama huna pesa??
Natanguliza shukran msinipopoe mimi nipo serious!