Wataalamu wa mambo wanasema ni nuksi kwa taswira/image ya mtu kuwa reflected kwenye kioo au sehemu yoyote ya Gari lililo beba mwili wa marehemu " funeral car"
Suluhisho Ni Nini?
Kufanya maombi mazito kama Ni mkristo...
Kufanya Dua Na visomo vizito kama Ni muislamu
Kufanya tambiko Zito la kimila Kwa wewe unae amini katika Mila.
Au kufanya vyote Kwa pamoja.
Kinga?
Kaa Mbali Na Gari lililo beba mwili wa marehemu...
Shida Ni pale inapotokea Kwa Bahati mbaya Yani ulikuwa unatembea barabarani au unaendesha Gari halafu buu baa Gari Hilo hapo pembeni umepiga jicho kwenye Gari Na taswira yako imekuwa relfected either kwenye kioo au kwenye Gari... That is a very bad omen. Linapotokea Jambo Hilo unashauriwa kufanya Moja WaPo Kati ya mambo niliyo yataja hapo juu au vyote kwa pamoja...
N.b: hiyo picha Ni kwenye msiba wa Hanspope.
View attachment 1937747