Semahengere
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,186
- 1,966
Kwani marehemu ana gari? Wacha ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza nuksi ndiyo nini na wewe,Bado unaamini mazingaombwe? Kha! Bado upo zama zile eti ukihisi mkono wa kulia unawasha ni dalili za pesa, na wa kushoto ukiwasha unaenda chooni. balaa sanaKiswahili kigumu mzee sijasema taswira yako ikiwa reflected una kufa papo hapo nimesema Ni nuksi kwa taswira ya mtu kuwa reflected kwenye Gari lililo beba mwili wa marehemu.
Wabongo wengi Wana nuksi Shahidi makanisa ya mitume Na manabii / maostaz Na kwenye vilinge vya waganga....
Acheni ubishi wa kitoto nyie