Ni nuksi Kwa taswira ya mtu kuonekana kwenye Gari lililo beba mwili wa marehemu

Ndio maana mimi nina nuksi asee maana niliwahi kuishi jirani na funeral home nahisi nilishajitizama sana kwenye vioo vya yale magari.

Ngoja nimpigie mganga wangu aniepe utaratibu.
 
Mi nasuggest magari yanayobeba maiti yasiwe na vioo. Mbao itafaa

Ndio nilichokua nawaza hapa kwamba kama kweli, narudia tena, kama ni kweli si vizuri taswira ya mtu kuonekana kwenye hizo gari, hata rangi wapake zile zisizong'aa na isiwe na vioo kabisa.

Lakini tungeshapoteza watu wengi sana.

Sasa na yale majeneza yanayomeremeta hadi unaona taswira na mengine wanaweka kioo inakuaje? Hapo si watu wangekua wanadondoka kabisa hapo hapo ukishajiona kwenye kioo cha jeneza?
 
Mtu kama huyu kwanini asile ban? upuuzi mtupu
 
Kwa ligha nyingine mleta mada anashauri maiti zibebwe kwenye kontena, huwa haina reflection ile 😁😁

Ila hii kitu inhekuwa ni kweli basi misiba kama ya mzee Mengi, Ruge n.k ingeondoka na wengi sana, maana ile nyomi iliyojipanga barabarani na gari la maiti kupita huko
 
Huyu mwenzetu kavurugwa
 
Wabongo Kiswahili Ni tatizo kwenu nimesema Ni " nuksi" sijasema kwamba ukijiona Tu unakufa papo Kwa papo..
 
Kwa hiyo gri walikimbie?
UJinga ni tatizo mojwapo la taifa hili, nyerere alishsema..
 
Kiswahili kigumu mzee sijasema taswira yako ikiwa reflected una kufa papo hapo nimesema Ni nuksi kwa taswira ya mtu kuwa reflected kwenye Gari lililo beba mwili wa marehemu.

Wabongo wengi Wana nuksi Shahidi makanisa ya mitume Na manabii / maostaz Na kwenye vilinge vya waganga....

Acheni ubishi wa kitoto nyie
 

Ndio ueleze vizuri watu wakuelewe sasa! Kama unachanganya habari na vitu havieleweki si ndio nuksi zenyewe hizo?

Unaposema taswira kuonekana unamaanisha nini? Tuanzie hapo kwanza.

Nimerejea kauli yako ikiwa reflection kwenye gari inaleta mushkeli, ikiwa reflected kwenye jeneza si ni zaidi ya nuksi?
 
Kwani huyo aliyevaa ushungi kwenye hiyo picha inayoreflect kwenye kioo ni Chifu Hangaya?

Ondowa hofu, kuna viumbe wenzetu wenye maono wameoteshwa wa awamu ya pili ataendelea kudunda then wa awamu ya nne atatangulia kabla ya wa awamu ya pili.

Chifu Hangaya yupo sana tu
 
Elewa ulivyo elewa mkuu.
 
Wewe Ni kichaa.. hapo Kuna picha ya mjukuu wa Hanspope huyo chief ametoka wapi?
 
Wewe Ni kichaa.. hapo Kuna picha ya mjukuu wa Hanspope huyo chief ametoka wapi?
Kichaa ni mama yako mzazi, kipofu kabisa pimbi wewe.

Picha umeleta wewe halafu huoni? Kima kabisa.
 
Wabongo Kiswahili Ni tatizo kwenu nimesema Ni " nuksi" sijasema kwamba ukijiona Tu unakufa papo Kwa papo..

Kwani wapi mimi nami nimeandika habari ya kufa? au neno kuondoka na wengi kwako umelitafsiri kwa upande mmoja tu?
 
Sijasema unakufa hapo hapo nimesema Ni nuksi.. Kiswahili kigumu Sana Kwa watozonia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…