Ni nyimbo gani unaipenda ila huwezi sikiliza mbele ya watu

Ni nyimbo gani unaipenda ila huwezi sikiliza mbele ya watu

Mabantu- Tumetoboa
Inavoanzaga kumaaaa anisha nini??? Naona italeta taharuki kwa watoto ila naupenda balaaaa
 
Zuchu nyimbo zake nyingi anatutenga sana wanaume. Kuna huu wimbo kaimba wee utaniua niua. Kuna ule sukari na kuna ule ameimba kama mchepuko wa mume wa mtu anaimba vizuri ila kuna mistari tungo zake kuzisikiliza mbele ya watu jau sana.
 
Kuna nyimbo unaweza kuta ni tamu ila shida ni huo ujumbe ndo inakuwa ngumu kusikiliza mbele ya watu,

Kwangu mm ni ule wimbo wa linah unaitwa fitina
Wimbo (umoja)
Nyimbo (uwingi)
Watu wengi wanachanganya hapa
 
Nyimbo za Marques Houston zinaitwa "Naked" na mwingine unaitwa "Sex with you"
 
Back
Top Bottom