Ni nyimbo gani unaipenda ila huwezi sikiliza mbele ya watu

Ni nyimbo gani unaipenda ila huwezi sikiliza mbele ya watu

Mitungi mikasi,samaki,
Hakuna sehemu wametaja samaki kwenye huo wimbo acha urongo nyoko wewe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Pale wanasema "Mitungi, blant, mikasiiii" msosi uliotajwa ni chapati na pizza sijui na nini kile.
 
Acha matusi lifala tu wewe mwanamke hatukanwi fala wewe anabembelezwa
 
Daah, kuna wimbo wa Harmonize unaitwa Single..Booonge la biti, melody taaamu, shida ni umri, nikisema niuweke na kuusikiliza hata kwa sauti ndogo watoto watahisi nimeachwa na mama yao au ndoa ina ina shida, kwaiyo nakaa nausikiliza kwa machale machale saaaana.
 
Mbosso - Umechelewa. Yani naupenda ila naishia kuuskilizia kwenye earpods maana ile part ya mwisho ni tabu tupu 😜
 
Chaja ya Kobe - Babu Ayubu
Nipe Stara - Jahazi Modern Taarabu
Chupi la Mnato- Man Fongo
 
Nimekusahau --tunda x kayumba
Dar stand up--chidi benz
Kuachana sh ngapi-d voos
Na zote siwezi sikiliza bila fone tena online
 
Daah, kuna wimbo wa Harmonize unaitwa Single..Booonge la biti, melody taaamu, shida ni umri, nikisema niuweke na kuusikiliza hata kwa sauti ndogo watoto watahisi nimeachwa na mama yao au ndoa ina ina shida, kwaiyo nakaa nausikiliza kwa machale machale saaaana.
😁😁😁
 
Harmonize Amelowa, Nina hamu ya kutoooo too too kutoa mahali uwe wangu
 
Forget about Dre na 2pac hit em up
Hii unaskiza tu, wabongo wengi ngeri haipandi wakiskia yale matusi ya kizungu they don't a fvck about em'. Mimi hizi ndo ngoma zangu pendwa naskiza tu hata ghetto uzuri wanao nizunguka ni wapenda amapiano.
 
Back
Top Bottom