Hakuna sehemu wametaja samaki kwenye huo wimbo acha urongo nyoko wewe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mitungi mikasi,samaki,
Acha matusi lifala tu wewe mwanamke hatukanwi fala wewe anabembelezwaHakuna sehemu wametaja samaki kwenye huo wimbo acha urongo nyoko wewe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pale wanasema "Mitungi, blant, mikasiiii" msosi uliotajwa ni chapati na pizza sijui na nini kile.
πππDaah, kuna wimbo wa Harmonize unaitwa Single..Booonge la biti, melody taaamu, shida ni umri, nikisema niuweke na kuusikiliza hata kwa sauti ndogo watoto watahisi nimeachwa na mama yao au ndoa ina ina shida, kwaiyo nakaa nausikiliza kwa machale machale saaaana.
Wewe ni Ke au Me π€£π€£π€£π«΄Naringa..ya Zuchu kuna vile inanikoshaa ila siwezagi kuiskiliza zaidi ya kwenye earphones
Hii unaskiza tu, wabongo wengi ngeri haipandi wakiskia yale matusi ya kizungu they don't a fvck about em'. Mimi hizi ndo ngoma zangu pendwa naskiza tu hata ghetto uzuri wanao nizunguka ni wapenda amapiano.Forget about Dre na 2pac hit em up
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanaume kusikiliza nyimbo za Zuchu hadharani inatia mashaka sana