Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
- Thread starter
- #21
Mkuu naomba ufahamu kuwa nina track zoote za tokea zamani za 2 proud na nimemfuatilia tokea kitambo kipindi hicho na za Prof JNadhani mtoa post hamujui 2 proud Bali anamjua sugu Tu, uliza wimbo unaitwa chini ya 18, siku nikianguka, mikononi kwa polisi, far dsm, deiwaka, nje ya bongo, wapi tunakwenda, unaweza kubeza kazi za ii proud au umezaliwa Na kumjua akiwa anaitwa sugu tayari?
Nyimbo za Sugu sio kali kama za J.