Ni nyimbo zipi za Sugu zenye Ujumbe na zilizohit sana kuliko za Professor J?

Ni nyimbo zipi za Sugu zenye Ujumbe na zilizohit sana kuliko za Professor J?

Mtoa mada atakuwa ndo hawa watoto waliozaliwa wakati Jakaya yupo madarakani...Sugu wa kumbeza kweli??

Sikiliza
Ndani ya bongo
Nje ya bongo
Deiwaka
Hali halisi
Muziki na maisha
Mikononi mwa polisi
Hali yangu
Maisha yangu
Chini ya 18
Mambo ya fedha
Haki
Hapo zamani
Kiburi
Namshukuru mungu
Alekhmslam
Itikadi
Nikianguka
Hayakuwa mapenzi

Na nyingine kibao yani ni madini tosha
 
Dar es salaam jua linakausha mpaka pamba
Na kila unachosema watu wanasema kamba
Wacha mimi niwahi mjomba
Tutazidi kuonana kwenye jiji la makamba
Kama kawaida jumatatu
Nipo kwenye pirika sitaki story na mtu
Jumanne nakutana na polisi kama nane
Jumatano mapema nipo bwii hakuna mfano
Alhamis mademu wanapiga simu wananimiss
Ijumaa na Jumamos ndo mikosi nuksi
Mpaka siku ya pili jumapili....
 
Mtoa mada atakuwa ndo hawa watoto waliozaliwa wakati Jakaya yupo madarakani...Sugu wa kumbeza kweli??

Sikiliza
Ndani ya bongo
Nje ya bongo
Deiwaka
Hali halisi
Muziki na maisha
Mikononi mwa polisi
Hali yangu
Maisha yangu
Chini ya 18
Mambo ya fedha
Haki
Hapo zamani
Kiburi
Namshukuru mungu
Alekhmslam
Itikadi
Nikianguka
Hayakuwa mapenzi

Na nyingine kibao yani ni madini tosha
mkuu sugu ni nouma kipindi hicho alikuwa na jamaa anaitwa balozi na dk levy
 
Kama kawaida jumatatu
Nipo kwenye pirika sitaki story na mtu
Jumanne nakutana na polisi kama nane
Jumatano mapema nipo bwii hakuna mfano
Alhamis mademu wanapiga simu wananimiss
Ijumaa na Jumamos ndo mikosi nuksi
Mpaka siku ya pili jumapili....
gwakukaja ni hatare Sugu toka miaka ya 90 mpaka sasa ana album nyingi kuliko msanii yeyote na alikuwa na maswahiba wake kama Balozi na Dr levy
 
gwakukaja ni hatare Sugu toka miaka ya 90 mpaka sasa ana album nyingi kuliko msanii yeyote na alikuwa na maswahiba wake kama Balozi na Dr levy
Yah bila kumsahau Afande Sele...aliimba sana kwenye albam za Sugu kabla hajatoka...
Sele ana wimbo wake "Afande anasema""

Kimya kimya afande anasema wote kimya...
Kimya kimya afande anasema...

Sijui hizi nyimbo nazipata wapi aisee!!
 
Sistaduu anapokugeuza wewe ndio dingi
Mapenzi kidogo mizinga mingi
Leo atataka versace na mini skirt
Kesho atataka passport
Keshokutwa atataka tiketi aende London au America
Si bora nifanye part japo sio pasaka
Hahaha na haya ndo yanatokea wakati huu wa dot.com halafu unasema Mbunge wangu mkali,mlitaka mpaka aimbe bob marley hayo maneno ndo mngeyapa umuhimu?
 
Umeanza kumsikiliza Sugu mwaka 2000. Basi jua kwamba 2proud alitoa album ya kwanza mwaka 1995 inaitwa ni mimi, 1997 akatoa album ya pili "ndani ya bongo", 1998 akatoa album ya tatu " niite mr II" na 1999 alitoa album ya nne "nje ya bongo". Wakati anatoa album zote hizo ulikua wapi?
Musics huwa unarekodiwa na tunaweza kuasses kazi za kila mmoja.

Kwahivyo kuwahi kumsikiliza sio tija ndio maana inawezekana wakati Bob Marley anatoa album ya kwanza wewe hukuwepo ila leo unaweza kujudge kazi zake.

Btw, nimeanza kumsikiliza tokea niko primary miaka ya 1997 ila nilikuja kumcompare na Prof. J miaka ya 2000 baada ya wote kufanya kazi kubwa.

Finally nikagundua kuwa Prof. J ni mkali zaidi.
 
Yah bila kumsahau Afande Sele...aliimba sana kwenye albam za Sugu kabla hajatoka...
Sele ana wimbo wake "Afande anasema""

Kimya kimya afande anasema wote kimya...
Kimya kimya afande anasema...

Sijui hizi nyimbo nazipata wapi aisee!!
zipo mkuu nenda tabelltz.com ukisearch unazipata au hulkshare.com unaandika jina la msanii zinakuja zote nyimbo then pakua
 
Hahaha na haya ndo yanatokea wakati huu wa dot.com halafu unasema Mbunge wangu mkali,mlitaka mpaka aimbe bob marley hayo maneno ndo mngeyapa umuhimu?
Maneno yake yamesimama mpaka leo mizinga sijui b52 haijulikani wana force king kujuana leo na invoice inaingia kijasho kitakutoka na wala usijaribu eti unamtania anakuja mazima
 
Back
Top Bottom