Ni nyimbo zipi za Sugu zenye Ujumbe na zilizohit sana kuliko za Professor J?

Mkuu naomba ufahamu kuwa nina track zoote za tokea zamani za 2 proud na nimemfuatilia tokea kitambo kipindi hicho na za Prof J

Nyimbo za Sugu sio kali kama za J.
 
Mleta thread naamini humjui vizuri Sugu, pengine sababu ya umri wako, nikipata muda nitakuwekea albamu zake zote hapa.

Kuhusu Prof Jay, sikiliza nyimbo zake zote yeye anasimulia hadithi na matukio.
 
Kwahiyo kumbe unamsifia kwa hayo na sio kazi yake kimuziki.
 
They're both Legend's of bongo flava... Wote nawapa heshima.. But Sugu mpeni heshima yake kubwa... Kama waanzilishi Na watu wa mwanzoni kusimika bendera ya mziki wetu wa bongo... Kipindi ambacho kusikiliza bongo flavor ni uhuni na jamii nzima was very negative but these people did their best... Much respect leo wametengeneza Ajira kwa kina Roma na wengineo.. So sio Pouwaaa pia kuwapima na vijana wa sasa.. Wapeni heshima zao whether they did it ryt or not
 
So who was the best rapper?

Who is the most recognized legend?
 
Ninyi hamjua song kabisa,sasa bongo dar es salaam ni wimbo au hadithi??mpaka uilinganishe na ana miaka chini ya 18,mikononi mwa polisi
Ile ni hadithi iliyoelezewa kwa mfumo wa Rap.

Sikiliza nyimbo za Coolio au Nas utajua nachosema. Usikurupuke.
 
Wengi hawamjui sugu,wakati sugu anaimba walikuwa watoto wadogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…