Ni obsession gani uliyonayo na inakusumbua sana, hauwezi ondoka akilinu labda uitulize kwa muda tu.

Ni obsession gani uliyonayo na inakusumbua sana, hauwezi ondoka akilinu labda uitulize kwa muda tu.

Design Your Idea

Senior Member
Joined
Jun 3, 2024
Posts
154
Reaction score
480
OBSESSION ni hali ya akili ambapo wazo, mtu, au kitu hudhibiti kabisa mawazo yako. Unafikiria juu yake wakati wote, na huwezi kuacha, hata unapotaka kufanya mambo mengine.
 
SIjui ni utoto, sijui ni uchizi, sijui ni vodoo, sijui ni uraibu ila mimi kila muda nawaza mademu wenye MAKEBO makubwa na mambo gani nitawafanyia nikiwa nao🍆🍑
 
Back
Top Bottom