Ni pombe gani hutakuja kuisahau maishani mwako?

Hapa saa 9 kule saa 8. Uje uniambie ni nini inakufanya usilale usiku wote huo. 😁
 
Aisee hiii pombe tunayokunywa saizi ni hatari
 
Kipindi hicho habari zilikuwa zinatolewa magazetini, nafikiri kati ya bidhaa zinazozalishwa kuzimu na ile ni mojawapo maana ilikuwa inaaibisha na kufedhehesha utu wa mtu kabisa.
Ilikuwa na vizibo vya kijani hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] baba alikuwa analeta kunywea nyumbani!!
 
Hapa saa 9 kule saa 8. Uje uniambie ni nini inakufanya usilale usiku wote huo. [emoji16]
Aiiiii
ebu niwache babe!!
Afu umerudia kale kamchezo kako nimeamua kumwachia Mungu[emoji17]
 
K vant nimeshaipiga x muda sanaa, inaulevi wa kijinga bora grants, na zingine ila vant, miyeyusho sanaa japo ndio pombe kali niliyoanza kunywa badae najaribu zingine naona mbna hazina tabu kama vant, nikaipiga chini mazima
 
Desperados - niliipenda ila hapana kwa sasa, ilibaki padogo nitapikie BENNETON GEMS Sea cliff i halafu pombe yenyewe sikuinywa hapo imagine mtu unaingia unafikia kutapika Uzuri tu ukimaliza ukuta wa gems uko toilet nilitapika jamani hee sitasahau macho yakawa yana maji maji kama nalia afu watu wananiambia Ooh so sorry [emoji23][emoji23] aibu kama nini...
SERENGETI LITE - Chungu ,mbaya sauti ilibadilika nikawa naongea kama mwanaume
 
Haaahaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]

Inaonesha we ni sista duu
 
Nilichogundua ni kwamba watu wengi hawajui matumizi sahihi ya spirit,hawatofautishi na beer.mnajimiminia tu

NB:bia bingwa weka mbali na watoto, yaani hata ukisema nitoe lock tu yenyewe inakuharibia siku nzima
Mwaga shule ya matumizi sahihi ya spirit watu waache kutapika hovyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…