Ni pombe gani hutakuja kuisahau maishani mwako?

Ni pombe gani hutakuja kuisahau maishani mwako?

Hahahahaha ulidhani togwa eh! 🤣🤣🤣🤣
Kuna kipindi nilikuwa napenda kunywa amarula occasionally na hasa nikipata ofa[emoji2957]
Nakumbuka best angu alikuwa na birthday hivyo nikajikoki nikanunua ile kubwa. Tumekula vizuri tukaanza kunywa...mara best akaniambia hii kitu haijachangamka tuchanganye na k vant...yeye ni mtu wa pombe tofauti na mimi...bwana bwana si nikakubali nikawa naweka kidogo kidogo.

Chupa ilivyokaribia kuisha nikashangaa ulimi unakuwa mzito mdomoni[emoji2]Story haziendi tena ikabidi tuite tax. Hatukufika mbali kichefuchefu hiki hapa, mikono mizito sikuweza hata kufungua kioo nikatapikia ndani kwenye miguu...yani nililegea hatari. Dereva akamind akataka tumlipe na ya kuosha gari[emoji2]

Kufika home naona nyota tu nikaingia chooni kwa kutambaa....nilifanikiwa kuvua suruali tu[emoji85]
Tangu siku hiyo mapenzi na amarula yakaisha...nimekuja kuionja mwaka jana baada ya kama miaka 4 hivi ila niliinywa kwa tabu sana so nimeachana nayo.
 
Kuna siku nilikuwa na hamu ya kuzimua kidogo, nikaingia baa...nikaagiza castle lite na nyagi ndogo ( kasichana) nikapiga, bia ikaisha nikaongeza bia mbili Tena ili kuimalizia konyagi.

Ilipoisha nikaanza kupiga lite za kutosha! Sijakaa sawa akaja rafiki yangu dokta akasema tuchukue mzinga mkubwa wa Valeur.

Tukauchukua, tukaanza kuupiga mpaka ukaisha, ebwana eeee.....!!! Nikaanza kutoka baani kwenda home saa nane usiku kwa mguu, kumbe geji inapanda**.

Nilipofika home badala ya kuingia ndani nilipitiliza kwenye fensi yenye miiba...nikawa nafosi kupita pale...yaani nilichomwa miiba balaa!

Nilichafuka huku naangukia miba..baadae sijui ikawaje nikaingia chumbani nikalala...

Kuamka asubuhi kila sehemu nimekwaruzwa Kama viwembe hivi..njaaa....halafu macho yanatoa machozi fulani hivi yanaumaa!

Nikapigia boda akaleta nyama nusu, maji makubwa ya baridiii, na Pepsi baridiii.

Nikaandaa supu..nikainywa mdogo mdogo.

Nilishinda nimo ndani tu, kumbe Kuna dada mmoja aliniona ile night navyofakamia ile fensi Kama mbogo.
Baada ya siku mbili baadae akaniuliza kumbe kaka unakunywa? Niliona aibu maana sikuwahi kuonekana nimekunywa!

Huo usiku nilkuwa full yaani yeyote akikaa mbele nilijiapiza anachezea mkono, sijui hayo mawazo yalitoka wapi. Nilipita sehemu walipo vibaka nawatafuta kwa kuwaita kabisa nikielekea home.

Sikujua nikuwa nalazimisha nivuke fensi niende wapi!

#Valeur haifai#
 
Nilipiga safari kubwa kama 10 ivi,, baadae nikachukua mbili na kasichana aiseee ilikua ni kisanga iyo siku..

Asubuhi watu wananiangalia mi naona kawaida tu,, tulikua na mshkaji mmoja tunakaa nae ghetto ikabidi anipe stori.

Akaanza kuniuliza unakikumbuka hichi kikombe.
Nikamjibu umekinunua au vipi..
Akaniambia jana umegonga chumba cha jirani saa 8 usiku ukaomba kikombe tuu (alikua mshkaji na mke wake yule mke wake ndo alitoka akanipa icho kikombe)..
Sasa kurudi ndani mshkaji akawa akiniongelesha nikimjibu fyongo tunacheka.
Msela mwenye wife wake akajua namkula mke wake,, ali"mind kichizi (japo alikausha, ila alimmaindi sana mke wake ), kesho kikawekwa kikao ishu ikaisha...
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ulilala hapo Mkuu? Hahahahaha
Nikiwa boarding nilikunywa gongo Siku moja ndio ilikuwa mara ya kwanza na mara ya mwisho.Sitosahau nilivyojibanza kwenye shamba la chai baada kushindwa kushuka kwenye mteremko kuelekea shule
 
Baba paroko nakunywa fanta passion mimi ikiletwa thread yetu utaniona
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nitatakuletea divai muumini wangu usijaribu k vant
 
Weng bado wateta juju me twapiga ulanzi mix bingwa
Kaa mbali NA ICE.
KITOKO ITASUBIRI

BWANA EE ICE NITASIMULIA BAADAE
 
Ilikuwa 2019 nikiwa natoka Dodoma nikafika Shinyanga Kuna rafiki yangu alikuwa anafanya kazi kiwandani Kama meneja.

Nilishuka stendi nikachukua bajaji kumfuata alipokuwa, alikuwa eneo maarufu enzi hizo LEVEL 4. Ilikuwa Ni baa maarufu iliyokuwa ghorofa ya nne. Nilipofika nikamkuta yupo na demu wake, nikaagiza msosi Kwanza.

Nilipomaliza nikaanza kupiga Safari za baridi, shemu ( demu wa mshikaji) akaniomba K vant ndogo. Nikamnunulia, hakuinywa maana tayari alikata Moto. Nikaigida chapu ikaisha ( kumbuka nimekunywa Safari lager nyingi mno).

Tukaamua kuhama kiwanja, tukaingia la prince, mda unasoma saa Tisa usiku. Tukala bia na kucheza mziki mpaka saa kumi na moja. Mi nikachukua boda nikaenda kulala, nikachukua na Malaya wa kujiuza, duhh! Nilipofika lodge nikamtimua yule Malaya nikampa elfu ishirini.

Nikalala....ebwana eeee! Ghafula jashooo.. kitanda kikawa kinazunguka. Nilipitiwa usingizi nikaamka saa sita na hangover balaa kichwa kinauma. Halafu mda huo natakiwa kusafiri.

Safari hatari ukichanganya na k vant.
 
Kuna siku nilikuwa na hamu ya kuzimua kidogo, nikaingia baa...nikaagiza castle lite na nyagi ndogo ( kasichana) nikapiga, bia ikaisha nikaongeza bia mbili Tena ili kuimalizia konyagi.

Ilipoisha nikaanza kupiga lite za kutosha! Sijakaa sawa akaja rafiki yangu dokta akasema tuchukue mzinga mkubwa wa Valeur.

Tukauchukua, tukaanza kuupiga mpaka ukaisha, ebwana eeee.....!!! Nikaanza kutoka baani kwenda home saa nane usiku kwa mguu, kumbe geji inapanda**.

Nilipofika home badala ya kuingia ndani nilipitiliza kwenye fensi yenye miiba...nikawa nafosi kupita pale...yaani nilichomwa miiba balaa!

Nilichafuka huku naangukia miba..baadae sijui ikawaje nikaingia chumbani nikalala...

Kuamka asubuhi kila sehemu nimekwaruzwa Kama viwembe hivi..njaaa....halafu macho yanatoa machozi fulani hivi yanaumaa!

Nikapigia boda akaleta nyama nusu, maji makubwa ya baridiii, na Pepsi baridiii.

Nikaandaa supu..nikainywa mdogo mdogo.

Nilishinda nimo ndani tu, kumbe Kuna dada mmoja aliniona ile night navyofakamia ile fensi Kama mbogo.
Baada ya siku mbili baadae akaniuliza kumbe kaka unakunywa? Niliona aibu maana sikuwahi kuonekana nimekunywa!

Huo usiku nilkuwa full yaani yeyote akikaa mbele nilijiapiza anachezea mkono, sijui hayo mawazo yalitoka wapi. Nilipita sehemu walipo vibaka nawatafuta kwa kuwaita kabisa nikielekea home.

Sikujua nikuwa nalazimisha nivuke fensi niende wapi!

#Valeur haifai#
Valuer sio pombe ile nilikunywa glass moja tu ghafla masikio yakaziba nikawa sisikii kitu, baada ya hapo niliwaka balaaa
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ulilala hapo Mkuu? Hahahahaha
Nilijibanza hapo mkuu mpaka gongo ilipoanza kupungua kichwani mida ya saa 4 usiku.Gongo nililinywa mida ya saa 10 jioni.Nilikuwa na mwanafunzi mwenzangu ila yeye alikuwa mnywa gongo mzuri alipoona nazingua nashindwa kusonga kushuka mteremko wa korongo kwenda shule jamaa akaniacha akashuka akaenda shule.Mimi nikatulia tu kwenye kibanda fulani nikiendelee kutapika Na kila nikijaribu kusimama naenda chini.Nilikaa kwenye hiko kibanda mpaka saa 1 jioni ndipo nilipofanya uamuzi wa kujisogeza kwenye michai nikajituliza hapo.
 
😂😂😂😂😂😂😂pole sana Mkuu kama nakuona vile umejibanza huku umejaa woga uko BWIIIII 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Halafu tulipata na msokoto kidogo.Toka siku hiyo sijawahi tena kunywa gongo ile pombe kama imelaaniwa hakuna pombe chungu kama gongo
 
Mm siyo mnywaji wa mara kwa mara, ila siku nikisema naenda kunywa lazima mkimbie nyie.
Kuna siku niliingia boardroom sinza nimepiga chupa 2 za Hennessy zile size ya kati wanauza 1 elf60, nimekuja kustua kesho yake saa 2 usiku nipo home hoi bin taabani
 
Balantain...daaah hadi leo nina alama ktk magoti, mi nimezoea bia bia hizi, hiyo siku maeneo flan nikakumbana na Balantain, sitakuja tena kuigusa
 
Back
Top Bottom