Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Mimi hata sasa hv kama unayo.Madam B lini nikuletee Saint Anna
Au kama utaoma uvivu...nirushie pesa kwenye simu nikanunue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi hata sasa hv kama unayo.Madam B lini nikuletee Saint Anna
Kuna kipindi nilikuwa napenda kunywa amarula occasionally na hasa nikipata ofa[emoji2957]
Nakumbuka best angu alikuwa na birthday hivyo nikajikoki nikanunua ile kubwa. Tumekula vizuri tukaanza kunywa...mara best akaniambia hii kitu haijachangamka tuchanganye na k vant...yeye ni mtu wa pombe tofauti na mimi...bwana bwana si nikakubali nikawa naweka kidogo kidogo.
Chupa ilivyokaribia kuisha nikashangaa ulimi unakuwa mzito mdomoni[emoji2]Story haziendi tena ikabidi tuite tax. Hatukufika mbali kichefuchefu hiki hapa, mikono mizito sikuweza hata kufungua kioo nikatapikia ndani kwenye miguu...yani nililegea hatari. Dereva akamind akataka tumlipe na ya kuosha gari[emoji2]
Kufika home naona nyota tu nikaingia chooni kwa kutambaa....nilifanikiwa kuvua suruali tu[emoji85]
Tangu siku hiyo mapenzi na amarula yakaisha...nimekuja kuionja mwaka jana baada ya kama miaka 4 hivi ila niliinywa kwa tabu sana so nimeachana nayo.
Nikiwa boarding nilikunywa gongo Siku moja ndio ilikuwa mara ya kwanza na mara ya mwisho.Sitosahau nilivyojibanza kwenye shamba la chai baada kushindwa kushuka kwenye mteremko kuelekea shule
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nitatakuletea divai muumini wangu usijaribu k vantBaba paroko nakunywa fanta passion mimi ikiletwa thread yetu utaniona
Safi sana, ya nini kunjibanabana mapenzi nikujiachiaUlijuaje, yaani nakuwa mcharoooooo
shikamooEeeenh unasema
Umekubali eeeeeSafi sana, ya nini kunjibanabana mapenzi nikujiachia
Valuer sio pombe ile nilikunywa glass moja tu ghafla masikio yakaziba nikawa sisikii kitu, baada ya hapo niliwaka balaaaKuna siku nilikuwa na hamu ya kuzimua kidogo, nikaingia baa...nikaagiza castle lite na nyagi ndogo ( kasichana) nikapiga, bia ikaisha nikaongeza bia mbili Tena ili kuimalizia konyagi.
Ilipoisha nikaanza kupiga lite za kutosha! Sijakaa sawa akaja rafiki yangu dokta akasema tuchukue mzinga mkubwa wa Valeur.
Tukauchukua, tukaanza kuupiga mpaka ukaisha, ebwana eeee.....!!! Nikaanza kutoka baani kwenda home saa nane usiku kwa mguu, kumbe geji inapanda**.
Nilipofika home badala ya kuingia ndani nilipitiliza kwenye fensi yenye miiba...nikawa nafosi kupita pale...yaani nilichomwa miiba balaa!
Nilichafuka huku naangukia miba..baadae sijui ikawaje nikaingia chumbani nikalala...
Kuamka asubuhi kila sehemu nimekwaruzwa Kama viwembe hivi..njaaa....halafu macho yanatoa machozi fulani hivi yanaumaa!
Nikapigia boda akaleta nyama nusu, maji makubwa ya baridiii, na Pepsi baridiii.
Nikaandaa supu..nikainywa mdogo mdogo.
Nilishinda nimo ndani tu, kumbe Kuna dada mmoja aliniona ile night navyofakamia ile fensi Kama mbogo.
Baada ya siku mbili baadae akaniuliza kumbe kaka unakunywa? Niliona aibu maana sikuwahi kuonekana nimekunywa!
Huo usiku nilkuwa full yaani yeyote akikaa mbele nilijiapiza anachezea mkono, sijui hayo mawazo yalitoka wapi. Nilipita sehemu walipo vibaka nawatafuta kwa kuwaita kabisa nikielekea home.
Sikujua nikuwa nalazimisha nivuke fensi niende wapi!
#Valeur haifai#
Noma Sana mzeeValuer sio pombe ile nilikunywa glass moja tu ghafla masikio yakaziba nikawa sisikii kitu, baada ya hapo niliwaka balaaa
Nilijibanza hapo mkuu mpaka gongo ilipoanza kupungua kichwani mida ya saa 4 usiku.Gongo nililinywa mida ya saa 10 jioni.Nilikuwa na mwanafunzi mwenzangu ila yeye alikuwa mnywa gongo mzuri alipoona nazingua nashindwa kusonga kushuka mteremko wa korongo kwenda shule jamaa akaniacha akashuka akaenda shule.Mimi nikatulia tu kwenye kibanda fulani nikiendelee kutapika Na kila nikijaribu kusimama naenda chini.Nilikaa kwenye hiko kibanda mpaka saa 1 jioni ndipo nilipofanya uamuzi wa kujisogeza kwenye michai nikajituliza hapo.🤣🤣🤣🤣🤣🤣ulilala hapo Mkuu? Hahahahaha
Nilijibanza hapo mkuu mpaka gongo ilipoanza kupungua kichwani mida ya saa 4 usiku.Gongo nililinywa mida ya saa 10 jioni.Nilikuwa na mwanafunzi mwenzangu ila yeye alikuwa mnywa gongo mzuri alipoona nazingua nashindwa kusonga kushuka mteremko wa korongo kwenda shule jamaa akaniacha akashuka akaenda shule.Mimi nikatulia tu kwenye kibanda fulani nikiendelee kutapika Na kila nikijaribu kusimama naenda chini.Nilikaa kwenye hiko kibanda mpaka saa 1 jioni ndipo nilipofanya uamuzi wa kujisogeza kwenye michai nikajituliza hapo.
8Pm imenitoa nyongo juzi hadi leo najiuguzaElezea kisa kilichokukuta mpaka ukasema hutakuja kuigusa pombe ya aina fulani
Halafu tulipata na msokoto kidogo.Toka siku hiyo sijawahi tena kunywa gongo ile pombe kama imelaaniwa hakuna pombe chungu kama gongo😂😂😂😂😂😂😂pole sana Mkuu kama nakuona vile umejibanza huku umejaa woga uko BWIIIII 🤣🤣🤣🤣🤣🤣