Ni Programming Language gani unaisoma sasa?

Sir huwezi tengeneza na ika-run nimefanya mara kadhaa
Ni kweli uko sahihi, I lakini kuna njia waweza fanya file lika execute bila human enteraction. Mojawapo ambayo ni rahisi ni kama kuliweka ndani ya startup folder (shell:startup)
 
Nina notes za haya madude nilizichukua kutoka kwa washkji zangu waliokuwa wanasoma IT, Ngoja nianze kula msuli, nataka kutengeneza ka website kangu tu.
 
Wapo baadhi vilaza na ninawajua ndio maana nikasema hivyo inawezekana wewe ni mmoja wao naona imekugusa
Huko kwangu unapotaka kwenda hutapaweza!
Hakuna mtu aliyesoma miaka minne halafu akashindwa kuandika hiyo simple code!
Ngoja nisikuharibie uzi wako na juhudi zako tu.Endelea kukomaa.
 
samahani eti mimi pia napenda sana mambo ya computing,software development na hacking courses unaweza nielekeza jinsi gani naweza kupata materials kama vitabu vya computing na hacking? hata mambo yanayoweza kuelezea kuhusu kali linux nitashukuru sana.
 
Nina notes za haya madude nilizichukua kutoka kwa washkji zangu waliokuwa wanasoma IT, Ngoja nianze kula msuli, nataka kutengeneza ka website kangu tu.
samahani unaweza ukaniazima hizo notes au kunielekeza ni shemu gani naweza kuzipata hizo notes?
 
Da umejibu vizuri sana,watu wengine ni magumu kuelewa,kwenye maelezo yangu nimesema ndio nimeanza kusoma,nashangaa ananiambia sijui kitu nilichoandika sijui ni simple,Haoni kwamba kwa mtu anayejifunza hii hatua nzuri maana sio wote wanaosoma programming wanauwezo wa kutengeneza hata kitu simple tu.Anatakiwa atambue hakuna mtu aliyeanza kusoma programming leo eti kesho akatengeneza application kubwa kama Ms Word,kama yupo anayedai alifanya hivo huyo ni muongo.Mi nadhani huyu ni aina ya watu wasiopenda wengine wajue vitu kwa kukatisha tamaa
 
Ndugu mtandao una kila kitu ni wewe tu kuwa na bundle la kutosha.Huko unakotaka kufika si Pepesi kama unavyodhani japo inawezekana kupafikia kwa kujitoamuhanga .Kwanza kabisa uiosome computer from the lowest level to the highest level,soma networking kwa maana hacking mara nyingi zinafanyikia kwenye ulimwengu wa networking ,soma low level programming langages kama assembly language pia high level programming language kama c,c++ na nyinginezo pia ili uweze kumaster programming uwe unapractice sana kwa kujaribu kusolve problems mbalimbali kwa kutumia programming unayoisoma.
 
Huko kwangu unapotaka kwenda hutapaweza!
Hakuna mtu aliyesoma miaka minne halafu akashindwa kuandika hiyo simple code!
Ngoja nisikuharibie uzi wako na juhudi zako tu.Endelea kukomaa.
Uniharibie uzi kwa namna gani matusi,dharau,kebehi au na nini,si lengo langu kumdhihaki mtu ila nachoongea ni kweli ukatae ukubali kuna baadhi ya watu wamemaliza chuo tena Comp Sci hawawezi kutengeneza hata simple App.Nadhani kiswahili ni lugha nyepesi ni matumaini yangu utanielewa ninapotumia neno baadhi.Pia jambo lingine jema zaidi iwapo nawe ni mtu wa comp sci unaweza kuleta mchango wako humu kwa lengo la kubadilishana ujuzi na kujifunza kutoka kwa mwingine.
 
Hawa jamaa wanakuwa kama hawatambui misingi ya kusolve problems ni mizuri kuliko kujua kila programming language mfano hii Fortran nayoisoma ni ya the oldest language lakini lengo langu ni kuanza chini kabisa sidhani kama itakuwa mtu vema anayesoma mtu programming aanza na malugha ya kisa kama Visual Basic eti aanze kudeal na magraphical user interface kwanza kabla hajaanza na Console Applications kama hizi.Maana hizi GUI hata mtu aliyeanza kusoma comp jana anaweza kuzitengeneza.Unackokifikiria wewe naona kina mashiko.Kuliko kuhang hang au tuseme kujua language nyingi nusu nusu nadhani ni bora kuwa competent kwenye language moja kisha nyingine zinafuata mfano mimi kwenye VB nipo vizuri tayari nikaona niongeze na language nyingine inamaana hapa nataka niijue fortran,nikitoka fortran java nikitaka java c++
 
Solution ni basicof programming. Hilo ni la kawaida.
Lugha nyingi inakusaidia kuwa adaptive kwenye project mbali mbali kwa kutumia lugha tofauti.
Knowing si project zote utafanya kwa language moja.
Lakini kuna programming language bila shaka ni General purpose
 
Hehehehe....Hapo tayari utapata error, check casing ya variable Mk254 ni tofauti na argument uliyotupia kwenye print()...
Haha Hiyo variable aliyoipass kwa print itakuwa flagged kama undeclared
 
Hehehehe....Hapo tayari utapata error, check casing ya variable Mk254 ni tofauti na argument uliyotupia kwenye print()...
Haha Hiyo variable aliyoipass kwa print itakuwa flagged kama undeclared
 
Programmer siku zote hachagui language ndo mana akaitwa programmer yeye anaface project na kutumia language uliyopo mda huo kwenye project

Jifunze language Moja in deep hapo ni sawa umejua zote misingi ni ile ile (C++ ukiijua in deep ushamalza kla kitu)

languages zinatifautiana kwenye performance akuna language duniani iliyopo 100% perfect case hii inasababisha kutumia language nyingi kufanya project moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…