Ni Programming Language gani unaisoma sasa?

Unazijua programming lang zipi mkuu
 
Ambao mmeanza from scratch ni vyema muweke na vitabu mlivyo soma sio lazima pdf mnaeza weka jina tu lakitabu sisi wafia tech tukajitaftia maana nasoma naona mzozo yani inshort amjasolve problm hata uku mtufanye tuwe wengi mbona wengi wetu tuna passion nzuri tu ya kujifunza utajiskiaje kesho ukawa vip wangu kwa kukualika katika uzinduzi wa kampuni yangu

Help those who need maguru wa programming msizozane saidianeni
 
Habari niko pekee yaani siko na uwezo au mtu wa kunifunza, je naweza kusoma lugha gani
 
Learn Python in one day and Learn IT WELL.
---------------------------------------------------------
The only book you need to start coding in Python immediately.

Python for beginners with Hands-on Project
LEARN CODING FAST
By Jamie Chan

"The best way of learning about anything is by doing "
-Richard Branson

uko interested na language ipi mkuu
 
nlijifunza na c na c++
kuna project nkafanya na java na ingine c#
una adapt tu language huna haja ya kujua zote
Hivi kuna borland c++ IDE ya kurahisisha kutengeneza App yaani ambayo inakuwezesha kudrag na kudrop controls kama textbox na buttons kwenye form .
 
Mpwa kazana programing wekeza muda mwingi kujifunza , haswa unapotoa darasani hakikisha unatumia hata nusu saa kurudia , pia CSS and JavaScript hakikisha unazielewa vema .
 
Hahahha,wabongo bana eti kuandika vicode vichache ushaanza kuwasema watu na taaluma zao kujifunza code peke yako ndani it’s not enough,kuna mambo mengi ya coding ambayo yatahitaji general knowledge ya computer mara nyingi utapata ukiwa college
 
Ok
 
Mpwa kazana programing wekeza muda mwingi kujifunza , haswa unapotoa darasani hakikisha unatumia hata nusu saa kurudia , pia CSS and JavaScript hakikisha unazielewa vema .
Yup mpwa nazingatia hayo
 
Samahani ningependa kujua, ivi kwa upande wa elimu kozi gani ambayo inadeal na ayo mambo ya "programming"
.
Huwa nataman sana kujifunza, nipeni mwanga nianzie wapi
 
course yoyote ya IT certifacate,diploma degeree programming utaikuta pia unaweza jifunza mwenyew bila hata kuenda shule ni kujituma tu mwenyew
 
Unataka kusoma programming gani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…