mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
NI KWELI MAGONJWA MTAMBUKA KAVURUGWA HAJUI AANZIE WAPI? THE THREAD IS COMPLEX BEYOND LEVEL OF UNDERSTANDING !!! FOR COMMONERS LIKE MAGONJWA MTAMBUKADuh..
huu uzi nahisi asilimia 89 ya waliochangia ni makachero alafu hawafahamian na wapo kwenye idara tofaut tofaut..
hapa UVCCM mchumia tumbo hawezi kuelewa hata kidogo..
ahaha ahah
MATUSI YA NINI ? MKUU SALAMA HUKO EAGLE??Ujumbe huu ilibidi umtumie Membe aliyekosa akili.
kula like mkuuu !!Hata Mugabe na Zuma walikuwa na tume ya uchaguzi na dola, lakini wakati ulipofika vyote viliwaponyoka. So Rais hana nguvu za ki Mungu.
Mkuu Britanicca, kama kuna mtu anastahili tuzo hapa JF basi kwa hakika ni wewe maana ninaweza kutamka bila shaka kuwa ni mtu unayeongoza katika kutufungua macho kuhusu matukio mbalimbali yajayo. Na kizuri zaidi, umejikita zaidi katika kuhabariaha kuliko kupiga propaganda.Kuna wabobezi wa masuala haya kama kaka yetu Evarist Chahali watadadavua tetesi tulizopata hizi
Nimepenyezewa kwamba mwaka 2015 bwana mkubwa ambaye anaongoza visiwa vya Guam alikuwa na ushindani na mmoja ambaye rafiki yake wa karibu alikuwa mkuu wa FBI ya weusi,
Leo asubuhi ameonekana viunga vya Nyumba nyeupe na lengo lilikuwa ni kutimiza wito ili kupewa majukumu ya kumaliza mchezo unaotaka kuanzishwa na mzee wa cashew nuts
Mbaya zaid kampa makaratasi yenye report fulani mzee wa Guam
Naishia hapa GENTAMYCINE
MKUU CHAHALI HABARI USCOHI ??Mkuu Britanicca, kama kuna mtu anastahili tuzo hapa JF basi kwa hakika ni wewe maana ninaweza kutamka bila shaka kuwa ni mtu unayeongoza katika kutufungua macho kuhusu matukio mbalimbali yajayo. Na kizuri zaidi, umejikita zaidi katika kuhabariaha kuliko kupiga propaganda.
Kwa bahati mbaya kwa Tanzania yetu mtu hawezi kupewa pongezi anazostahili mpaka atutoke, na mfano hai ni kwa Marehemu Ruge. Basi naomba nitumie fursa hii kukupongeza muda huu ambapo naamini pongezi hizi sio zitakuwa na maana zaidi (badala ya kusubiri ututoke, God forbid) bali pia ili zikupe hamasa ya kuendelea na utumishi wako bora kabisa kwa jamii kupitia maandiko yako.
Hongera sana na asante sana. This is from the bottom of my heart
Sent using Jamii Forums mobile app
Membe ataingia chadema kwaushawishi wa nyalandu kisha chadema wata bow down na kumpa kijiti,lisu atamaindi lkn atapewa ahadi ya uwaziri mkuu na uenyekiti wa chama. M Atatimua vumbi lakini magufull atapita kimbinde... Utatafutwa muafaka wa kitaifa ndipo Lissu atapokuwa waziri wa sheria na mbowe wa maji...isivyotegemewa upinzani watapata viti vya ubunge zaidi ya vile vya 2015. Utabiri utaendelea...
Nyie endeleeni kuotaWATAKUJA KUELEWA BAADE SANA, MEMBE FOR PRESDENTIAL 2020!
DONT RUSH ,SUBIRIA UONE! 2020 SIO MBALI !!
Tusiseme yoteJe inawezekana makaratasi aliyompa ndio yamepelekea kumtumbua Mwandosya? Is it a coincidence?
HatujuiJf ni zaidi ya burudani. Ukiwa na UTASHI wa kuandaa desa lolote kuhusu habari nyeti tayar we ni jasusi mbobezi.
Hawafai mkuuHuko GUAM kila siku kuna ibuka jipya mkuu.
HakikaUle ulikuwa mpango wa system
kuhakikisha nchi inapata rais asiye mla rushwa. Lowasa ilikuwa lazima apelekwe upinzani ili kuua kabisa. Sasa kazi ilisha isha ni kula bata tu, mbow yupo segerea lupango anahudumia hahahah
SUBIRI 2020 WABABE WANAVYOENDA KUPINDUA MEZA KIBABE.....!
MATUSI YA NINI ? MKUU SALAMA HUKO EAGLE??
Sijaua kiuhalisia hivi pale kuna biashara gani au ni fahari tu.Sielewi kinachoendelea hapa.. Watu wanagombania jumba jeupe?
Mngepunguza emotions, matukio ya hivi karibuni ya "kurudi nyumbani" yasingewashangaza.Umetag mapopoma wawili ndo watoe ukweli wa hisia zako,ok acha tubaki spectators
Duu !! Kumbe Mh. Membe kawa tishio kwenye chama chetu kiasi kwamba yatulazimu tutumie nguvu kubwa kwa namna hii.Membe angekuwa smart, angemaliza tofauti na Edo kwanza then ndiyo aliamshe...........
Hapa naona JPM anatumia majeshi ya kukodi toka kwa Team Edo........
miradi bubu ya wazalendoAcha uchonganishi Na kuchochea Fitna Na Mtafaruku Kwenye Jamii
Akifanikiwa Rais imefanikiwa Nchi Na akishindwa Rais imeshindwa Nchi