Mkuu Britanicca, kama kuna mtu anastahili tuzo hapa JF basi kwa hakika ni wewe maana ninaweza kutamka bila shaka kuwa ni mtu unayeongoza katika kutufungua macho kuhusu matukio mbalimbali yajayo. Na kizuri zaidi, umejikita zaidi katika kuhabariaha kuliko kupiga propaganda.
Kwa bahati mbaya kwa Tanzania yetu mtu hawezi kupewa pongezi anazostahili mpaka atutoke, na mfano hai ni kwa Marehemu Ruge. Basi naomba nitumie fursa hii kukupongeza muda huu ambapo naamini pongezi hizi sio zitakuwa na maana zaidi (badala ya kusubiri ututoke, God forbid) bali pia ili zikupe hamasa ya kuendelea na utumishi wako bora kabisa kwa jamii kupitia maandiko yako.
Hongera sana na asante sana. This is from the bottom of my heart
Sent using
Jamii Forums mobile app