Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 456
- 1,003
Neno mwanaume siyo suala la kuvaa vizuri na kufuga ndevu
Neno mwanaume linamkataa yule ambae akiachwa na mpenzi wake anaigeukia pombe
Neno mwanaume linamkataa yule ambae akifukuzwa kazi anaanza kutafuta wa kumlaumu
Mwanaume ni yule ambae hata Kama hakuna njia anakwambia songa mbele
Yule anaeweza kusimama imara hata wakati wa matatizo
Si yule anaekaa kulalamika Bali kuangalia wapi alipokosea na kurekebisha makosa
Yule ambae anajua kuwa anaishi Mara moja na anaenda na wakati
Si yule ambae anawekeza muda mwingi kwa mwanamke kwani anajua hata asipomuoa yeye ataolewa na wanaume wengine na atakuwa na Maisha yake huko.
Ongezea machache unayoyajua kumhusu mwanaume
Waasalam