Mtemi Mbojo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 2,330
- 4,048
Ni yule ambaye anahakikisha MKATE wa familia upo wakati wote na haulizwi muda wa kurudi nyumbani
Rekebisha hapo Tz au daslamTanzania hakuna wanaume wote machawa tu wa kusifu na kuabudu ili mikono iende kinywani
Ndio maana nilikwambia nakupenda mara moja tu, nilipoona huelekei nikavunga, kumbe nimeshakubaliwa kiaina aiseeeee!.Akiongea mara moja kamaliza!
Kauli zake ni thabiti.Pia Mwanaume kamili:
Hatumii TikTok, IG, haweki status WhatsApp
Haoi single mom
Hanyonyi uchi wa mwanamke
Hababaishwi na mitindo ya kisasa ya nguo au nywele anachojali yuko smart, msafi na utuli wa kiume
Hatombi wake za wanaume wenzake
Wanawake watatu muhimu maishani mwake ni mama mzazi, mke na binti yake
Hata awe na mchepuko sikuzote his family comes first
Hana show off za kijinga
Anaishi peace na jamii inayomzunguka
Mchapakazi na sio mvivu
😂😂😂Na anatoa pesa bila kuombwa.
Ni yule ambaye anahakikisha MKATE wa familia upo wakati wote na haulizwi muda wa kurudi nyumbanni
Pamoja sana mkuu👊👊Ni yule ambaye anahakikisha MKATE wa familia upo wakati wote na haulizwi muda wa kurudi nyumbani
Mjusi kama mjusi🤓🤓🤓Ndio maana nilikwambia nakupenda mara moja tu, nilipoona huelekei nikavunga, kumbe nimeshakubaliwa kiaina aiseeeee!.
Pia Mwanaume kamili:
Hatumii TikTok, Snapchat, IG, haweki status WhatsApp
Haoi single mom
Hanyonyi uchi wa mwanamke
Hababaishwi na mitindo ya kisasa ya nguo au nywele anachojali yuko smart, msafi na utuli wa kiume
Hatombi wake za wanaume wenzake
Wanawake watatu muhimu maishani mwake ni mama mzazi, mke na binti yake
Hata awe na mchepuko sikuzote his family comes first
Hana show off za kijinga
Anaishi peace na jamii inayomzunguka
Mchapakazi na sio mvivu
Hizo kauli za kudharau wanaume wa Da'slam ziliisha oct 29.Rekebisha hapo Tz au daslam
Kwakweli naomba msamaha kwa niaba ya wenzangu wote tulio wadharau nyie ni majembe🫡Hizo kauli za kudharau wanaume wa Da'slam ziliisha oct 29.