Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 456
- 1,003
Mtu anajiita mwanaume halafu anashabikia CCMNeno mwanaume siyo suala la kuvaa vizuri na kufuga ndevu
Neno mwanaume linamkataa yule ambae akiachwa na mpenzi wake anaigeukia pombe
Neno mwanaume linamkataa yule ambae akifukuzwa kazi anaanza kutafuta wa kumlaumu
Mwanaume ni yule ambae hata Kama hakuna njia anakwambia songa mbele
Yule anaeweza kusimama imara hata wakati wa matatizo
Si yule anaekaa kulalamika Bali kuangalia wapi alipokosea na kurekebisha makosa
Yule ambae anajua kuwa anaishi Mara moja na anaenda na wakati
Si yule ambae anawekeza muda mwingi kwa mwanamke kwani anajua hata asipomuoa yeye ataolewa na wanaume wengine na atakuwa na Maisha yake huko.
Ongezea machache unayoyajua kumhusu mwanaume
Waasalam
MhmmAkiongea mara moja kamaliza!
👊Akiongea mara moja kamaliza!
Kwa mke wake tu.Na anatoa pesa bila kuombwa.
ShindiiNa anatoa pesa bila kuombwa.
Huyu ni mimi kabisaNa anatoa pesa bila kuombwa.
Abee!Shindii
Wewe ni hela tu shindii ,kila kitu 😭Abee!
Ndio.Wewe ni hela tu shindii ,kila kitu 😭
Nakubaliana na wewe na yote uliyoandika kasoro hapo kwa "Hatumii Tiktok au IG"Pia Mwanaume kamili:
Hatumia TikTok au IG
Haoi single mom
Hanyonyi uchi wa mwanamke
Hababaishwi na mitindo ya kisasa ya nguo au nywele anachojali yuko smart, msafi na utuli wa kiume
Hatombi wake za wanaume wenzake
Wanawake watatu muhimu maishani mwake ni mama mzazi, mke na binti yake
Hata awe na mchepuko sikuzote his family comes first
Hana show off za kijinga
Anaishi peace na jamii inayomzunguka
Kama ni kwa ajili ya biashara tu ni sawa kabisaNakubaliana na wewe na yote uliyoandika kasoro hapo kwa "Hatumii Tiktok au IG"
Hiyo mitandao ya kijamii sikuhizi ni part ya kupambana, ndio watu wanatafuta riziki yao humo. Imagine Millard Ayo bila Instagram
Watu wanaenda live kubrand biashara zao, wana akaunti za maduka yao, wengine ni content creators, vyote hivi vinawaingizia kipato. Sio umama, ni ukuaji wa teknolojia tu
Mwanaume mwenye uanaume Hana Makelele, gubu na kisirani!Mhmm
Shibe kama shibeMwanaume mwenye uanaume Hana Makelele, gubu na kisirani!
Tanzania hakuna wanaume wote machawa tu wa kusifu na kuabudu ili mikono iende kinywaniNeno mwanaume siyo suala la kuvaa vizuri na kufuga ndevu