Ni rahisi kuitwa mwanaume Ila ni ngumu kuwa mwanaume

Ni yule ambaye anahakikisha MKATE wa familia upo wakati wote na haulizwi muda wa kurudi nyumbani
 
Kauli zake ni thabiti.
 
Kuhusu kutumia mitandao napinga hadi kesho mkuu
 
Ukiwa na jibolo na uwezo kwa kushenyenta wewe tayari ni mwanaume.

Nyingine zote ni mbwembwe na chombeza mlizojiongezea na hutofautiana kwa kila jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…