Ni rahisi kusema Simba na Yanga ila inaleta ukakasi ukisema Yanga na Simba, kwanini?

Uenda inafata Alphabetical order ya herufi inaanza S inafatiwa na Y hvo inatamkika kwa umaeridad mzur ukianza na simba ukimalizia na Yanga.
 
Tanzania nzima wapenda mpira huanza kuitaja simba kisha yanga na wala hawaanzi na yanga kisha simba huo ndio ukweli. Uzi tayari.
Sababu ni Ladies & Gentlemen, hahahahaha natania kidogo ila alphabetically inaanza S halafu Y ipo karibu na mwisho kabisa
 
Ni rahisi kusema baba na mama na ni ukakasi kusema mama na baba..

Sinba ndy baba wa soka wa taifa hili.
 
Simba na Yanga, ni uhuni kusema Yanga na Simba
 
Kabla ya ku comment nikaangalia jukwaa ambalo uzi umefunguliwa. sasa niandike tu jamii forum sasa imekua Facebook inayochangamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…