Ni rahisi kutimiza anachokitaka shetani lakini sio Mwanamke.

fanya yako bob huyo ni boya kama maboya wengne
 
Hivi kwani mkiwa mnaheshimiana ndio hamuwezi kugegedana?

Maana hayo mambo hata kitaani yapo, unaweza ukamtongoza mdada, akakujibu nilikua nakuheshimu sana,
 
Aise usijaribu kumsaidia mwanamke sehemu ya kulala na kumuacha hivyo hivyo bila kupiga game, Lazima tu atakuharibia kwa wanawake wenzake. Mimi niliamua kumsaidia dada mmoja mzim dola nikamwachia chumba nikalala sebleni, akakataa kulala, Mwisho tulilala chumba kimoja kakini mimi nililala chini bila kufanya nae tendo. Asubuhi kufika Job gumzo likawa hilo tu. Sitorudia tena kosa langu
 
Dah mkuu ulifanya kosa la jinai sana
 
Na mm ngoja nkuongezee tu
Mengne hayo ilayataka mwenyewe
Au labda wanawake hujawajua


vzr mambo yao hua n vais vesa
Akisema hatak=anataka
Sasa ww uliremba vuma unachopanda

Kiaz+kiaz+kachumbar+mayai =,,,,,,,,,

Jana hapi
 
We boya kweli aisee mimi binafsi nisingeweza ningetest kwanza kuomba game nione kama yaliyomo yamo na kama angekataa ningemwambia achukue zaga zake akatafute sehemu nyengine ya kulala yani hapo no way lazima ungekula mzigo dogo
 
hata hv huyo demu hukuntamani. umenikumbusha siku nlilala na demu chumba kimoja kwny dabodeka yeye akalala juu mini chini lakini asubui ilivo fika nlijikuta nimeanguka nipo juu alipo lala yeye. ...
 
Eeeh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kwanza unadhani angekua kamvutia kweli angemuacha hata asimsumbue usiku jamani
Dogo mzinguaji aisee utakua hanisi wewe eti gentleman unalala na mzigo unauangalia tu? .....personal siwezi aisee....sifa ya u gentleman ni kula awe mzuri au mbaya.....dada yako huyo???

Anyway dogo zingatia masomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…