Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Mbona sijakihakikiNna kibali[emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona sijakihakikiNna kibali[emoji23] [emoji23]
fanya yako bob huyo ni boya kama maboya wengneJuzikati hapa nilisafiri na manzi mmoja kwenda Dodoma kufanya field practices.Huyo manzi mwenyewe huwa sina mazoea nae sana nikiwa chuo.Ilitokea tu nikakaa nae siti moja bahati nzuri zaidi sehemu tuliyokuwa tunaenda kufanya field ni sehemu moja nje kidogo ya Dodoma mjini.
Njiani nimepiga nae story nyingi tu.Katika baadhi ya maongezi alinambia anapenda mwanaume anayemheshimu na sio wale wa kuuchezea mwili wake hovyohovyo.Akaendelea akasema hayupo tayari kumvulia chupi mwanaume aliyeanzisha nae mahusiano chini ya miezi mitatu.
Nikasema hamna kwere tulifika Dodoma usiku mida ya saa nne usiku.Magari ya kwenda kule tulipokuwa tunaelekea hayakuwepo halafu akawa anasema hela aliyobakiza ni ya nauli tu kufika tulikokuwa tunaenda na hana pa kulala.Ikabidi nifanye ugentleman kidogo kwa kuwa nilikuwa na vipesa kadhaa nilimchukua nikampeleka sehemu akala halafu tukachukua bodaboda mpaka sehemu yenye gesti
Hahaha mimi ungenidharau maana simba halali na swala zizi moja!Ingekua ni mimi ningekuheshimu sana
Dah mkuu ulifanya kosa la jinai sanaJuzikati hapa nilisafiri na manzi mmoja kwenda Dodoma kufanya field practices.Huyo manzi mwenyewe huwa sina mazoea nae sana nikiwa chuo.Ilitokea tu nikakaa nae siti moja bahati nzuri zaidi sehemu tuliyokuwa tunaenda kufanya field ni sehemu moja nje kidogo ya Dodoma mjini.
Njiani nimepiga nae story nyingi tu.Katika baadhi ya maongezi alinambia anapenda mwanaume anayemheshimu na sio wale wa kuuchezea mwili wake hovyohovyo.Akaendelea akasema hayupo tayari kumvulia chupi mwanaume aliyeanzisha nae mahusiano chini ya miezi mitatu.
Nikasema hamna kwere tulifika Dodoma usiku mida ya saa nne usiku.Magari ya kwenda kule tulipokuwa tunaelekea hayakuwepo halafu akawa anasema hela aliyobakiza ni ya nauli tu kufika tulikokuwa tunaenda na hana pa kulala.Ikabidi nifanye ugentleman kidogo kwa kuwa nilikuwa na vipesa kadhaa nilimchukua nikampeleka sehemu akala halafu tukachukua bodaboda mpaka sehemu yenye gesti.Kwa kuwa na mimi sikuwa na mavumba ya kutosha tulichukua chumba kimoja.
Kufupisha story usiku sikumfanya chochote.Tulilala bila kugegedana.Sasa huku field practice imekuwa kero aisee ananisema kwa mamanzi wenzie eti mimi mashine mashine yangu ni zero function sijambandua siku ile.Sasa nawaza huyu mwanamke aliposema anataka mtu wa kumheshimu alimaanisha nini?
Kweli usiamini kila analolisema Mwanamke.Wanawake nyinyi Duuuh!!! Sir God anawaona
Bonge la jibu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na wewe waambie hukumpenda sio type yako. Jeuri mwenzie kusudi
Nmeota tutakua na safar ya mmIngekua ni mimi ningekuheshimu sana
HahahahahaNDO ZAO HAO WADADA, WANAONGEA KAULI KINYUMENYUME NDO MANA SKU HZ WANATOA HAD TG.. Kauli zao tata
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bonge la jibu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama yai vizaWe zero kabisa!
Hujataka tyuMbona sijakihakiki
Hahaha ningekuvalia chupi ya chumaHahaha mimi ungenidharau maana simba halali na swala zizi moja!
Fanya booking mapema gest tutayofikia waweke vyumba viwil tunakuja[emoji23]Nmeota tutakua na safar ya mm
Na ww mkoa to mkoa
hahaaaUmeanza kuvuta weed eeeh
Dogo mzinguaji aisee utakua hanisi wewe eti gentleman unalala na mzigo unauangalia tu? .....personal siwezi aisee....sifa ya u gentleman ni kula awe mzuri au mbaya.....dada yako huyo???Eeeh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kwanza unadhani angekua kamvutia kweli angemuacha hata asimsumbue usiku jamani