THE BIG SHOW JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 16,950 Reaction score 13,527 Dec 17, 2024 Thread starter #21 Steven Joel Ntamusano said: Kina Yericko na Erythrocyte ni machawa tu wenye kutumiwa sawa na zulia la kuingilia nyumbani, kila mtu atalikanyaga kwanza ndipo aingie. Click to expand... TENA UCHAWA WAO,NI UCHAWA ULE WA NJAA NA KUKOSA AKILI.
Steven Joel Ntamusano said: Kina Yericko na Erythrocyte ni machawa tu wenye kutumiwa sawa na zulia la kuingilia nyumbani, kila mtu atalikanyaga kwanza ndipo aingie. Click to expand... TENA UCHAWA WAO,NI UCHAWA ULE WA NJAA NA KUKOSA AKILI.
G goodluck5 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 7,092 Reaction score 11,613 Dec 17, 2024 #22 chiembe said: Mbowe anatoshaaa, mitano tena Click to expand... Kweli we ki..nembe!. Mtu ameongoza chama miaka 21 leo atakuwa na jipya gani aliloshindwa kulifanya kwa miaka hiyo amekuwa madarakani?!.
chiembe said: Mbowe anatoshaaa, mitano tena Click to expand... Kweli we ki..nembe!. Mtu ameongoza chama miaka 21 leo atakuwa na jipya gani aliloshindwa kulifanya kwa miaka hiyo amekuwa madarakani?!.
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Dec 17, 2024 #23 goodluck5 said: Kweli we ki..nembe!. Mtu ameongoza chama miaka 21 leo atakuwa na jipya gani aliloshindwa kulifanya kwa miaka hiyo amekuwa madarakani?!. Click to expand... Wapiga kura wakaamue
goodluck5 said: Kweli we ki..nembe!. Mtu ameongoza chama miaka 21 leo atakuwa na jipya gani aliloshindwa kulifanya kwa miaka hiyo amekuwa madarakani?!. Click to expand... Wapiga kura wakaamue