Ni rasmi CCM wapo kwenye Panic Mode

Ila nikisoma comments zako between the lines tangu Lissu awe mwenyekiti na feel kwa kiasi gani unaumia mzee🤣🤣🤣

Ndo maisha lakini. Hakuna marefu yasiyo na ncha. Hata CHADEMA kuna maisha tu najua kuna siku utaamia tu.
Yaani Mimi naumia kuliko Mwamba wenu Mbowe? 😂😂

Ni hivi , Kibaraka Lisu mumemtoa Jupiter hakuwepo 🇹🇿? 😁😁
 
Wajue Watanzania wamechoka na uchawa wanataka kazi, kazi na watu wa kazi na sii wala kwa urefu wa kamba.
Kiburi tu. Unadhani hawajui? Ila mwaka huu wanalo.

Ninavyomjua Lissu mie😅😅😅
 
Yaani Mimi naumia kuliko Mwamba wenu Mbowe? 😂😂

Ni hivi , Kibaraka Lisu mumemtoa Jupiter hakuwepo 🇹🇿? 😁😁
Unaumia kwa kuwa uchawa kwao umegonga mwamba,na posho soon zinaenda kufa,kwani wanaona ni dalili ya kushindweni kuwapigania vyema.
 
Unaumia kwa kuwa uchawa kwao umegonga mwamba,na posho soon zinaenda kufa,kwani wanaona ni dalili ya kushindweni kuwapigania vyema.
Yaani aache kuumia Mwamba Mbowe na chawa wake Boni yai aje kuumia Choice? Hauko serious.

Nasisitiza ana jipya gani huyo ambae hakuwepo 🇹🇿 mumemtoa huko Mars? 😂😂
 
Yaani aache kuumia Mwamba Mbowe na chawa wake Boni yai aje kuumia Choice? Hauko serious.

Nasisitiza ana jipya gani huyo ambae hakuwepo 🇹🇿 mumemtoa huko Mars? 😂😂
Vipi Tlatlaah na Luca nao hawajaumia?
 
Sio leo sio mwaka huu sio ndani ya miaka50
Sema nikikucharua unajua kucharuka maana juzi niliona unavyotukanana kumbe sio mama D pia ni mama T...🤣

NCHI INAENDA UPINZANI
 
Yaani Mimi naumia kuliko Mwamba wenu Mbowe? 😂😂

Ni hivi , Kibaraka Lisu mumemtoa Jupiter hakuwepo 🇹🇿? 😁😁
Nashauri muombe kuongezewa posho kwani kazi ishaanza kuwa ngumu ili mpate energy ya kubwabwaja vizuri msije mkafa na njaa.
 
Kile ambacho Watu hawajui ni kwamba Mungu ana plan na Lissu....!

Kumponya na risasi zote zile 16.....! Lissu ni next President.
 
huu ni upotoshaji wa kiwango cha ushirikina gentleman.

nadhani ni muhimu kujiepusha na upotoshaji dhaifu na usio na maana yoyote.

Imani potofu sio nzuri wajemeni, ni vizuri kuamini Mungu pekee na sio ushirikiana Mwingine 🐒
 
Tanzania itaendelea kuwepo na itastawi zaidi bila nyie. Hivi sasa wanatamani wateke yoyote alie against na wao. Shida inabaki watateka nchi nzima?
 
Naona unajitekenya na kujichekesha mwenyewe kama mjinga vile.
Sasa hapa mbona unayeonekana mjinga ni wewe! Kama ungekuwa na weledi japo kidogo, ungekanusha au kukubali kwa kutoa sababu kuliko kuandika vioja!! Mwashambwa, unakwama wapi mpaka kiasi cha kushindwa kujenga hoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…