Ni rasmi sasa 2025 ni Samia vs Lissu?

Tume huru na katiba mpya hamtaki kuvisikia ila uchaguzi feki wa tume dhaifu mwautaka hata kesho?kwa tume hii na haya maigizo nitawashangaa sana CHADEMA wakikubali kuingia kwenye igizo hili licha ya kurudia kosa zaidi ya mara 4!
 
Kwenye fair ground mama hatoki..lkn lzma tufanye figisu...alaf watu weng wanamfumo dume..hawajakubal kuongozwa na mwanamke
Nchi inaongozwa na mwanamke sasa hao mfumo dume kwann hawajitokezi kupinga?

2025 kama ccm itamsimamisha samia kisingizio kipo... uchaguzi haukuwa fair. Hichi ni kisingizio cha kipuuzi sana ila ndo kisingizio tegemeo. Cha kipuuzi kwa sababu hakifuti matokeo na upinzani hauna shida kusubiri tena waje na hicho kisingizio.
 
Lisu yupi huyo anayeachia Chadema wa ndani wapambane siasa za ndani yeye akila Bata Ulaya akisubiri kuja kugombea na kuondoka kama TX?
Mbona mnapingana wenyewe kwa wenyewe sasa
 
Upinzani siyo CCM na CHADEMA kwa sasa kwa sababu tunajua CCM itashinda hata kwa bao la mkono. Upinzani anaotakiwa kuufikiria ni wa ndani ya chama
 
Kwa hali ilivyo na CCM kuchusha,itakuwa ni Lissu dhidi ya polisi na TISS!Mkeka ukiwekwa wazi CCM watalilia chooni.
 
Kama CCM itaruhusu wanaccm kuchukua form za uraisi, huyo mama hapiti
Kwahiyo wanaume mnajiskiaje pindi kina mama wanapoanza kujipanga kuchukua nchi tena 2025!!

Nadhani ni muda muafaka wakuanza kujitathimini nafasi yetu katika TAIFA.
 
Mmmh kiukwel huku mtaan mama hakubaliki kabisa ...mi namsupport lkn mtaan hakubaliki watu hawamuelew kabisa...2025 atapata tabu sana
Mkuu mtaa wako tu unataka kulinganisha na mitaa yote ya nchi nzima hauko serious
 
Lisu hata akipambanishwa na Pole pole ataangukia pua tu. Jamaa ameshindwa kuwashawishi watanzania wakipatie chama chake hata wabunge watano, sembuse uraisi!

What if kungekuwa na tume huru ya uchaguzi kama kenya au Ghana unafikir hawez kushinda? ?
 
One meets his fate in a path she take to avoid it.
2025, Mbowe in the building.
 
What if kungekuwa na tume huru ya uchaguzi kama kenya au Ghana unafikir hawez kushinda? ?
Chadema ili wawin inabidi waanze kujipanga mapema 2022 na 2023 wawe tayari washamwandaa mtu ila wasimuweke Lisu hana mvuto tena!
 
Reactions: nao
Nimesema maandalizi yafanyike mapema zije sura mpya sio Dhabi wakijiunga pia na baadhi ya watu wa CCM wasiomuunga mkono mama!
 
Wapinzani

Tengenezeni new leaders

Hawa wanaharakati hawawafikishi mbali
Namimi nawaambia hawa akina Lisu, Lipumba ,msigwa,lema ,mbowe ,mbatia na wengine aina hiyo hawana jipya watu walishawachoka. Undeni chama kipya chanye kutetea vijana na muuanzishe movement kwa kutumia mtandao nchi yenu kabisa hii 2025!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…