Ni rasmi sasa 2025 ni Samia vs Lissu?

Mkuu wew kwa akili zako unadhani lini ccm iliwahi kushinda kwenye box la kura?
Ccm hata kama inashinda kwa hira
Lakini vijana tulikuwa bado tumelala
Baada ya maisha ya mpito ya mwendazake na kuja huyu mama
Wananchi wamekata tamaa mazima hivi sasa wapo tayari kwa mabadiliko
Lakini siyo kupitia hivi vyama vya chadema ,ACT, cuf nk,
Tukitaka ccm itoke madarakani mchana kweupee
Ni kuunda chama kipya kitakacho jinasibisha. na vijana
Kuanzia viongozi,wagombea,sera na ungangari
Tuwe na slogan yetu sisi vijana kama kupigika tumepigika wote ,kama tozo tunakatwa sote uwe teja,uwe afande uwe muuza tunda la bibi,uwe konda tumepigika sote
Ivyo basi afande vua kombati vaa uwalisia wa ujana acha kutumika na wazee wezi wezi njoo kwetu tupa bunduki chini lete mabadiliko vijana wa leo siyo wale wabeba mabegi ya wanasiasa mshahara pombe ...
 
Una Umri gani?
Elimu yako je???
 
Hapa Samia tano (5) tena, huyo Tundu agombee huko Ubelgiji akisaidiwa na Amsterdam
Kama chama chake kimemshinda kuongoza kwa kuamua kukimbilia ulaya na kumuchia zigo la misumali Mnyika, je nchi ataiweza kuiongoza kweli?
 
Mungu aende na Mama kwa kishindo kikuu chenye kuyaogofya mno majeshi makubwa ya adui, hadi 2030; AMINA.
 
Kukubali kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya ni ujinga..
Huyu mama alikuwa sehemu ya ukwapuaji w kura 2020 na alibariki.
Na ameonesha ana kiu kikali cha urais.
Atafanya lolote ili aupate kuanzia ndani ya chama chake hadi nje.
 
Lisu yupi huyo anayeachia Chadema wa ndani wapambane siasa za ndani yeye akila Bata Ulaya akisubiri kuja kugombea na kuondoka kama TX?
Na wewe unakibali kuongozwa Tena na Mzanzibar?Vipi Tanganyika hakuna wenye uwezo wa kuongoza 2025.
 
Ila hizi ni zalau kubwa Sana kwa Watanganyika Yani tuongozwe Tena ma Mzanzibar?Ina Maana Watanganyika hawana uwezo wa kuongoza ? Mbona Watanganyika hawana haki ya kuongoza Zanzibar?Watanganyika tuondoe aibu ya kuongozwa na mheni Tena 2025.
 
Chadema + TUME HURU=CCM OUT
 
Mmmh kiukwel huku mtaan mama hakubaliki kabisa ...mi namsupport lkn mtaan hakubaliki watu hawamuelew kabisa...2025 atapata tabu sana
Bado mapema sana, tusubiri hotuba yake ya kufumga bunge 2025 na tutampima amefanya nini na kaboreshaje maisha ya watanzania
 
Upinzani siyo CCM na CHADEMA kwa sasa kwa sababu tunajua CCM itashinda hata kwa bao la mkono. Upinzani anaotakiwa kuufikiria ni wa ndani ya chama
Mwenyekiti wa CCM na rais hana upinzani wowote na magufuli kaomyesha hilo
 
Rasilimali zipi kazigawa?
 
Nchi haiwezi kuongozwa na kichaa kama Lissu, Jeshi, Polisi hawawezi kukubali huo ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…