Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Mpuuzi sana huyu mtotoAnatuchukulia shoga zake[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpuuzi sana huyu mtotoAnatuchukulia shoga zake[emoji1787]
Siku kikinuka uje ulete mrejeshon tena. Kuna Bwashemeji wangu kafanya ujinga wa design hiyo hiyo copy na kupaste. Leo hii hana pa kushika tena. Amemuoa dada yangu. wakafungua duka jamaa akaamua kutembea na dada wa dukani. kilichofuata mahesabu dukani yakawa yanavurugika tuu. Kibaya zaidi akaamua kufanya wazi hadi mkewe akajua, na haikuishia hapo akazaa naye akampangia chumba kabisa kama mke wa pili. Ndoa yao iliparanganyika hadi sasa hakieleweki. Dadangu ni muajiriwa na ana mshahara mzuri tuu. akaamua kujitoa kwenye biashara za mumewe zote. sasa hivi jamaa anazidi tu kuzaa na mabinti wengine. huyu mke wa pili ambaye alikuwa muuza duka naye ashatelekezwa kwa maana kila siku wanazaliwa warembo wapya tuu.Najua tayari hili ni shari na ni heri nusu shari kuliko shari kamili, ni mbinu ipi nitumie mahusiano yetu yawe baina yetu bila kuingiliana kwenye biashara ?
Ni juzi niliweka mkasa hapa wa kuomba ushauri juu ya mimi kuzama katika penzi na binti wangu wa dukani mwenye miaka 19 mimi nikiwa nina miaka 28.
- Huyu binti wa dukani siwezi kumuoa mimi urefu 6.0 yeye 5.2, nipo zaidi nae kwa fun ila si kimalengo.
- Nina shughuli yangu kuu, hili duka niliweka mtaji kidogo kwajili ya dogo wa form 4 awe busy bila kujali hasara au faida, japo kwa sasa naona binti kanihamasisha niliendeleze.
Kanuni yangu ya kuajiri huwa ni mabinti wa kawaida tu ambao nywele huwa wananyoa tu, wanavaa sketi, kujipodoa kawaida, n.k. huwa naamini hawa wapo kikazi zaidi kuliko wale wa kubadili misuko, kujipodoa sana, kuvaa jeans zinabana, n.k. hawa huwa naona wana mambo mengi.
Jioni ya majuzi wakati nafunga hesabu geti likiwa limeshushwa, yeye alikuwa ameketi akisubiri kunipa melezo pindi nikihitaji ufafanuzi, ghafla hisia za kimapenzi zikanijia kwa sauti yake nyororo na macho yake yenye aibu pindi tulipokuwa tukiongea na kuonana uso kwa uso, nilimsogelea mwanzoni alileta resistance kuashiria hataki lakini nikamkazia nikaanza kumkiss ila kama hataki ila baada ya dakika hivi nae akaanza kunipa ushirikiano, mambo yalipamba moto nikampakata na kuendelea na maromance mazito huku mtoto akiwa anahema hoi bin taaban!! niliwehuka nilimtomasa na kumminya kimahaba ila tu sikuweza kumaliza kazi (kusex) sababu nilikuwa nimeshusha tu geti.
Basi ndio nikaja humu jf kuomba ushauri kwamba kesho yake nikienda kufunga hesabu nimalize kazi au lah, nikashauriwa nisithubutu na kweli kesho yake nilimueleza binti kwamba ni kashetani tu kalinipitia, nashukuru alinielewa na nikashukuru nimetoka mtegoni, ila sasa siku ya jana, bwana bwana!! nimekaa tunafunga hesabu akili ikafikiria yale yale nikamsogelea binti usoni na muda huu hakukataa, tulifanya romance kidogo tu nikamwambia afunge duka anifuate sehemu flani mimi nilitangulia, huko nilienda kutafuta lodge na kweli alipofikia maeneo ya karibu nikamuelekeza aje nilipo.
Alikuwa anakataa tuingie lodge twende kwangu lakini nikamsomesha akakubali, kufika lodge, basi tuliingia lodge nikamwambia akaoge kwanza, mh!!! ile kavua nguo tu uzalendo ulinishinda jamani, nilivaa mpira wangu nikajipigia danadana kupunguza kipuru ndio akaenda kuoga, aliporudi tena action iliendelea, ni mengi tulifanya ila nifupishe tu.
Binafsi nimemwelewesha kwamba ya jana ilikuwa ni casual tu lakini najua najidanganya kabisa maana sio kwa oven na mnato niliokutana nao jana ule, leo pia nimepanga nifanye revision.
Hadi sasa nina mwanamke ila hatujafunga ndoa na tulipata mtoto, so huyu binti kwangu ni kama vile namuona mchepuko.
Sasa going forward from here najua tayari hili ni shari na ni heri nusu shari kuliko shari kamili, ni mbinu ipi nitumie mahusiano yetu yawe baina yetu bila kuingiliana kwenye biashara?
Pia soma:
Nimeanzisha kanisa mtoa mada utakua msoma nenoNajua tayari hili ni shari na ni heri nusu shari kuliko shari kamili, ni mbinu ipi nitumie mahusiano yetu yawe baina yetu bila kuingiliana kwenye biashara ?

Shenzi kabisa huyuYaani unashauriwa halafu unapuuza, unakuja tena kuomba ushauri, dogo unatuchuliaje wanajf,??
Nimekusoma vyema sana kaka. Kwenye uzi wake wa kwanza nililizungunia hiliBinti wa Miaka 19 ni mdogo sana kuharibiwa future ni vile tu jamii inawaacha wanahihangaikia wenyewe bila muongozo .
Mtoto ni mgeni hapa duniani (Mch. Hananja, 2023). Binti wa miaka 19 unamuita mchepuko? So sad. Binti mdogo anaharibiwa future hivihivi. Siku huyo binti ukija kumuacha bahati nzuri asiwe na mtoto wala mimba atakua amejaa sumu juu ya wanaume. Ukimwacha na mtoto ndio kabisaa haijalishi utahudumia au la.Najua tayari hili ni shari na ni heri nusu shari kuliko shari kamili, ni mbinu ipi nitumie mahusiano yetu yawe baina yetu bila kuingiliana kwenye biashara ?
Ni juzi niliweka mkasa hapa wa kuomba ushauri juu ya mimi kuzama katika penzi na binti wangu wa dukani mwenye miaka 19 mimi nikiwa nina miaka 28.
- Huyu binti wa dukani siwezi kumuoa mimi urefu 6.0 yeye 5.2, nipo zaidi nae kwa fun ila si kimalengo.
- Nina shughuli yangu kuu, hili duka niliweka mtaji kidogo kwajili ya dogo wa form 4 awe busy bila kujali hasara au faida, japo kwa sasa naona binti kanihamasisha niliendeleze.
Kanuni yangu ya kuajiri huwa ni mabinti wa kawaida tu ambao nywele huwa wananyoa tu, wanavaa sketi, kujipodoa kawaida, n.k. huwa naamini hawa wapo kikazi zaidi kuliko wale wa kubadili misuko, kujipodoa sana, kuvaa jeans zinabana, n.k. hawa huwa naona wana mambo mengi.
Jioni ya majuzi wakati nafunga hesabu geti likiwa limeshushwa, yeye alikuwa ameketi akisubiri kunipa melezo pindi nikihitaji ufafanuzi, ghafla hisia za kimapenzi zikanijia kwa sauti yake nyororo na macho yake yenye aibu pindi tulipokuwa tukiongea na kuonana uso kwa uso, nilimsogelea mwanzoni alileta resistance kuashiria hataki lakini nikamkazia nikaanza kumkiss ila kama hataki ila baada ya dakika hivi nae akaanza kunipa ushirikiano, mambo yalipamba moto nikampakata na kuendelea na maromance mazito huku mtoto akiwa anahema hoi bin taaban!! niliwehuka nilimtomasa na kumminya kimahaba ila tu sikuweza kumaliza kazi (kusex) sababu nilikuwa nimeshusha tu geti.
Basi ndio nikaja humu jf kuomba ushauri kwamba kesho yake nikienda kufunga hesabu nimalize kazi au lah, nikashauriwa nisithubutu na kweli kesho yake nilimueleza binti kwamba ni kashetani tu kalinipitia, nashukuru alinielewa na nikashukuru nimetoka mtegoni, ila sasa siku ya jana, bwana bwana!! nimekaa tunafunga hesabu akili ikafikiria yale yale nikamsogelea binti usoni na muda huu hakukataa, tulifanya romance kidogo tu nikamwambia afunge duka anifuate sehemu flani mimi nilitangulia, huko nilienda kutafuta lodge na kweli alipofikia maeneo ya karibu nikamuelekeza aje nilipo.
Alikuwa anakataa tuingie lodge twende kwangu lakini nikamsomesha akakubali, kufika lodge, basi tuliingia lodge nikamwambia akaoge kwanza, mh!!! ile kavua nguo tu uzalendo ulinishinda jamani, nilivaa mpira wangu nikajipigia danadana kupunguza kipuru ndio akaenda kuoga, aliporudi tena action iliendelea, ni mengi tulifanya ila nifupishe tu.
Binafsi nimemwelewesha kwamba ya jana ilikuwa ni casual tu lakini najua najidanganya kabisa maana sio kwa oven na mnato niliokutana nao jana ule, leo pia nimepanga nifanye revision.
Hadi sasa nina mwanamke ila hatujafunga ndoa na tulipata mtoto, so huyu binti kwangu ni kama vile namuona mchepuko.
Sasa going forward from here najua tayari hili ni shari na ni heri nusu shari kuliko shari kamili, ni mbinu ipi nitumie mahusiano yetu yawe baina yetu bila kuingiliana kwenye biashara?
Pia soma:
HahahahaYaani unashauriwa halafu unapuuza, unakuja tena kuomba ushauri, dogo unatuchuliaje wanajf,??
Bora amwache achezewe na bachelor sio walio ndoani ambao ni moja kwa zote uwezekano wa kuolewa nao ni 0.00.Mtoto ni mgeni hapa duniani (Mch. Hananja, 2023). Binti wa miaka 19 unamuita mchepuko? So sad. Binti mdogo anaharibiwa future hivihivi. Siku huyo binti ukija kumuacha bahati nzuri asiwe na mtoto wala mimba atakua amejaa sumu juu ya wanaume. Ukimwacha na mtoto ndio kabisaa haijalishi utahudumia au la.
Ndio maana siku hizi unamkuta binti mdogo hana hisia na wanaume kabisa. Kumbe binti wawatu alishapigwa matukio na wapuuzi kama nyie hadi ameiva.
Anyway, all the best buddy
Kuna uzi fulani,unaelezea jinsi watu walioa bila kutarajiani mbinu ipi nitumie mahusiano yetu yawe baina yetu bila kuingiliana kwenye biashara ?
[emoji419][emoji419]nakaziaMfungulie biashara yake ili akila mtaji ale mtaji wake. La sivyo jiandae kuhesabu empty frames hapo dukani kwako miezi michache ijayo.
Unaonesha ubinafsi mkubwa sana, kwanza unachukulia advantage ya kuwa wewe ni boss kufanya ngono na huyo msichana. Na yeye hawezi kukataa maana akifanya hivyo anaogopa kupoteza kibarua, alafu proudly kabisa unasema huna future nae ila wewe unataka future ya biashara yako iende vyema ndio maana hutaki hayo mapenzi yenu yafike huko kwenye biashara sababu unajua kitakachotokea. Mkuu huo ni ubinafsi mkubwa sana na imagine kama una dada au mtoto wa kika afanyiwe hivyo.
Jitafakari, kama huna mpango na huyo binti na hutaki biashara yako ife basi mtoe hapo na mfungulie kibiashara au kubali kumlipa huo mshahara unaomlipa hapo bila yeye kufanya hiyo kazi hapo dukani na kazi yake iwe kukufurahisha wewe tu.
Kiukweli hivi vitu vinaumiza sana ni vile MTU unakosa namna ya kutoa msaada.Mtoto ni mgeni hapa duniani (Mch. Hananja, 2023). Binti wa miaka 19 unamuita mchepuko? So sad. Binti mdogo anaharibiwa future hivihivi. Siku huyo binti ukija kumuacha bahati nzuri asiwe na mtoto wala mimba atakua amejaa sumu juu ya wanaume. Ukimwacha na mtoto ndio kabisaa haijalishi utahudumia au la.
Ndio maana siku hizi unamkuta binti mdogo hana hisia na wanaume kabisa. Kumbe binti wawatu alishapigwa matukio na wapuuzi kama nyie hadi ameiva.
Anyway, all the best buddy
Huyu tayari ana plan zake, hapa anakuja kutusimulia tu. Yani anatengeneza hadi uzi wa kushukuru ushauri kua katuliza tamaa, alafu analeta mwingine tumshauri namna ya kuzitendea kazi tamaa zake.Yaani unashauriwa halafu unapuuza, unakuja tena kuomba ushauri, dogo unatuchuliaje wanajf,??