Ni red flags zipi ukiziona kwenye mahusiano mapya unaanza kutafuta mlango wa kutoka?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Kuna vijitabia huwa tunaviita red flags yani mtu akiwa navyo basi hamuwezi kudumu unaanza kutafuta exit strategy.

Kwangu mimi:

1. Nikimkuta binti ana chats nyingi na wanaume whatsapp huwa ni turn off kwangu, off course inaweza kuwa ni wafanyakazi wenzake, wanafunzi wenzake, wateja, n.k. lakini hii hali kwangu huwa ni red flag.

2. Uchafu - Unakuta pisi iko bomba lakini sasa suala la hygiene ni mzozo, hata kukiss inabidi uzuge umeleta choclate mle wote uanze kuleta uzungu wa kupiga mswaki kuzuia meno kuoza, kuzunguka kote huko ili apige mswaki.

3. kuomba pesa kila siku - Pesa ya kila wiki nipo tayari kutoa lakini kila siku hio ni red flag, nikiitoa ni bili ya kumnunua kahaba niliemtamani, nikimaliza haja zangu nakula kona, hakuna mahusiano hapo!

4. Hajui kupika - kitandani hata awe kama gogo tutavumiliana ntapeleka moto mimi, lakini unakutana ba binti hajui kupika, ni shida! akipika kazidisha chumvi, wali unatoka boko, ugali mbichi! umetoka kwenye shughuli zako una njaa, unaletewa ugali mbichi, hasira + njaa ndio zinafanya hata wanaume wapole kutoa vipigo.

5. Tattoo - alafu iwe ya kiunoni, kalio, hips au pajani, nisiongee mengi sana, hapana aisee!
 
Hyo ya pesa ndo no moja nakimbia chaap au nakuambia tu mm ntaka utelezi nkuandalie bei gan ataki mahusiano
 
Kuombwa pesa baada ya Siku tatu ni kawaida??

Wenzio hatutoi ata mia

Okay red flag zangu
1 mchafu - sipendi
2 Anayejilalamisha lalamisha( kugomba ) vitu havina mantiki
3 Muongo ( huyu Namkimbia kabisa)


Hao nimewaacha mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…