yellow java
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 1,228
- 2,234
*Asiyeomba msamaha
*Nikimfuma na sms za charting na mwanaume mwingine.
*Nikimfuma na sms za charting na mwanaume mwingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji419][emoji419][emoji419]
Mimi demu ikifika usiku na mdanganya naumwa then na mtakia usiku mwema, alafu na piga kimnya simtafuti kesho yake..
Na kukikucha na hesabu masaa sita tuu asipo nitafuta kuniuliza nimeamkaje na naendeleaje inakua imeisha hivyo yani na sijali kama ana salio au hana ,
mwanamke akikupenda ukimwambia unaumwa anakua hatulii anaangaika nafsi yake. Hata kama hana salio atatumia simu hata ya baba yake kukuuliza tuu unaendeleaje akishindwa kama yupo karibu na wewe atatoroka aje ata akuchungulie tuu ajue upo hai au ndio umezima
Hiyo kwangu ndio full red light and red flags.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Aisee Kweli nilishangaa kuna siku Mtt nampa Koni anyonye eti anasem hajazoea, kumlazimisha sana Kuiweka mdomoni kwann asianze kuipitisha kwny Meno mm huku Full maumivu nkamwambia tu bas inatosha,Demu huninyonyi ub** tunaachana
Mbinu moja wapo ya kumuacha mwanamke yeyote akikuomba hela wewe mjibu tuu sina , kila siku jibu sina.Wakuu Nipeni mbinu ya kuacha asee
Kuna vijitabia huwa tunaviita red flags yani mtu akiwa navyo basi hamuwezi kudumu unaanza kutafuta exit strategy.
Kwangu mimi:
1. Nikimkuta binti ana chats nyingi na wanaume whatsapp huwa ni turn off kwangu, off course inaweza kuwa ni wafanyakazi wenzake, wanafunzi wenzake, wateja, n.k. lakini hii hali kwangu huwa ni red flag.
2. Uchafu - Unakuta pisi iko bomba lakini sasa suala la hygiene ni mzozo, hata kukiss inabidi uzuge umeleta choclate mle wote uanze kuleta uzungu wa kupiga mswaki kuzuia meno kuoza, kuzunguka kote huko ili apige mswaki.
3. kuomba pesa kila siku - Pesa ya kila wiki nipo tayari kutoa lakini kila siku hio ni red flag, nikiitoa ni bili ya kumnunua kahaba niliemtamani, nikimaliza haja zangu nakula kona, hakuna mahusiano hapo!
4. Hajui kupika - kitandani hata awe kama gogo tutavumiliana ntapeleka moto mimi, lakini unakutana ba binti hajui kupika, ni shida! akipika kazidisha chumvi, wali unatoka boko, ugali mbichi! umetoka kwenye shughuli zako una njaa, unaletewa ugali mbichi, hasira + njaa ndio zinafanya hata wanaume wapole kutoa vipigo.
5. Tattoo - alafu iwe ya kiunoni, kalio, hips au pajani, nisiongee mengi sana, hapana aisee!
HaaaaaKuna vijitabia huwa tunaviita red flags yani mtu akiwa navyo basi hamuwezi kudumu unaanza kutafuta exit strategy.
Kwangu mimi:
1. Nikimkuta binti ana chats nyingi na wanaume whatsapp huwa ni turn off kwangu, off course inaweza kuwa ni wafanyakazi wenzake, wanafunzi wenzake, wateja, n.k. lakini hii hali kwangu huwa ni red flag.
2. Uchafu - Unakuta pisi iko bomba lakini sasa suala la hygiene ni mzozo, hata kukiss inabidi uzuge umeleta choclate mle wote uanze kuleta uzungu wa kupiga mswaki kuzuia meno kuoza, kuzunguka kote huko ili apige mswaki.
3. kuomba pesa kila siku - Pesa ya kila wiki nipo tayari kutoa lakini kila siku hio ni red flag, nikiitoa ni bili ya kumnunua kahaba niliemtamani, nikimaliza haja zangu nakula kona, hakuna mahusiano hapo!
4. Hajui kupika - kitandani hata awe kama gogo tutavumiliana ntapeleka moto mimi, lakini unakutana ba binti hajui kupika, ni shida! akipika kazidisha chumvi, wali unatoka boko, ugali mbichi! umetoka kwenye shughuli zako una njaa, unaletewa ugali mbichi, hasira + njaa ndio zinafanya hata wanaume wapole kutoa vipigo.
5. Tattoo - alafu iwe ya kiunoni, kalio, hips au pajani, nisiongee mengi sana, hapana aisee!
Na hakika walaaniwe.Mtu bahili.....kimbia umuachie na laana
Amen😁Na hakika walaaniwe.
Kwani mumeo huyo mpaka alipo kodiBahili nduki.....
Lipa Kodi ya nyumba japo miezi sita ndio tuzamepo