Ni red flags zipi ukiziona kwenye mahusiano mapya unaanza kutafuta mlango wa kutoka?

Ni red flags zipi ukiziona kwenye mahusiano mapya unaanza kutafuta mlango wa kutoka?

Kuna vijitabia huwa tunaviita red flags yani mtu akiwa navyo basi hamuwezi kudumu sababu wewe huwezi kuvumilia.

Kwangu mimi:

1. Nikimkuta binti ana chats nyingi na wanaume whatsapp huwa ni turn off kwangu, off course inaweza kuwa ni wafanyakazi wenzake, wanafunzi wenzake, wateja, n.k. lakini hii hali kwangu huwa ni red flag.

2. Uchafu - Unakuta pisi iko bomba lakini sasa suala la hygiene ni mzozo, hata kukiss inabidi uzuge umeleta choclate mle wote uanze kuleta uzungu wa kupiga mswaki kuzuia meno kuoza, kuzunguka kote huko ili apige mswaki.

3. kuomba pesa kila siku - Pesa ya kila wiki nipo tayari kutoa lakini kila siku hio ni red flag, nikiitoa ni bili ya kumnunua kahaba niliemtamani, nikimaliza haja zangu nakula kona, hakuna mahusiano hapo !
😅 Aisee
 
Mimi demu ikifika usiku na mdanganya naumwa then na mtakia usiku mwema, alafu na piga kimnya simtafuti kesho yake..

Na kukikucha na hesabu masaa sita tuu asipo nitafuta kuniuliza nimeamkaje na naendeleaje inakua imeisha hivyo yani na sijali kama ana salio au hana ,

mwanamke akikupenda ukimwambia unaumwa anakua hatulii anaangaika nafsi yake. Hata kama hana salio atatumia simu hata ya baba yake kukuuliza tuu unaendeleaje akishindwa kama yupo karibu na wewe atatoroka aje ata akuchungulie tuu ajue upo hai au ndio umezima

Hiyo kwangu ndio full red light and red flags.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kha😂😂
 
Mshirikina..
Mdada wa mujini..
Ntumie hela nikale..
Kuna hela ya vicoba nadaiwa..
Kuna mchango wa ndugu yangu mgonjwa kila mtu anatoka laki 2 sina nisaidie..

Bora mara kumi mwanamke akwambie Tu nna shida ya hela kidogo kuliko akupe hizo details za kijinga...zinachefua
 
Back
Top Bottom