Basi vizuri kama mume anatoa hela ya kodi....ndio mpambane ssa mjenge kwenuss unafikiri tunaishia kuzini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi vizuri kama mume anatoa hela ya kodi....ndio mpambane ssa mjenge kwenuss unafikiri tunaishia kuzini?
Define bahiri, maana ninyi mabinti wa siku hizi, chuma ulete ndio jukumu lenu namba moja katika mahusiano, kauli mbiu yenu ni "Hanihudumii" utadhani mlemavu au mzee wa miaka 90 au mgonjwa.Mtu bahili.....kimbia umuachie na laana
Kwa mwanaume elimu sio criteria ya kumchagua mwanamke sababu kwake haina faida wala hasara. Kwa mwanaume mwanamke kuwa na elimu au kutokuwa nayo haidhuru maamuzi yake ya kumchagua as long as anabehave kama inavyotegemewa mwanamke kubehave.Mpaka sasa hivi sijaona comment ya mtu akisema
"Akinizidi elimu"
Unajibizana na makahaba mkuu,Define bahiri, maana ninyi mabinti wa siku hizi, chuma ulete ndio jukumu lenu namba moja katika mahusiano, kauli mbiu yenu ni "Hanihudumii" utadhani mlemavu au mzee wa miaka 90 au mgonjwa.
Kama yeye ni bahiri wewe huwa unampatia chochote hadi ulazimishe reciprocation eneo la pesa?
Why utake mtoto wa watu akupe vitu ambavyo wewe pamoja na familia yako mlishindwa kupeana hadi uje vitafuta huku nje, why usiishi kwa standards za level ya familia ulipotoka unapretend halafu unataka gharama abebe kijana wa watu?!
Ishi na kijana wa watu kama unavyoishi na baba yako. Sio mtoto wa watu unataka akuwekee bundle ya 50K wakati mzee wako hana uwezo hata wa kukutumia buku tano kwa wiki.
Humble yourself and God will raise your status.
Its better kuwapa ukweli kuliko kukalia kimya huku wao wakiamini wapo sahihi. Mabinti wengi wanaona its a crime mwanaume kushindwa kumpatia mahitaji yake ya kifedha kwa kujisahaulisha kuwa wao wanatoka familia zenye njaa na kipato cha chini.Unajibizana na makahaba mkuu,
Niishi kama naishi na baba angu?? 😁 Baba angu ananinunulia hadi gauni la sikukuu, ndio nataka na mpenzi wangu aninunulieDefine bahiri, maana ninyi mabinti wa siku hizi, chuma ulete ndio jukumu lenu namba moja katika mahusiano, kauli mbiu yenu ni "Hanihudumii" utadhani mlemavu au mzee wa miaka 90 au mgonjwa.
Kama yeye ni bahiri wewe huwa unampatia chochote hadi ulazimishe reciprocation eneo la pesa?
Why utake mtoto wa watu akupe vitu ambavyo wewe pamoja na familia yako mlishindwa kupeana hadi uje vitafuta huku nje, why usiishi kwa standards za level ya familia ulipotoka unapretend halafu unataka gharama abebe kijana wa watu?!
Ishi na kijana wa watu kama unavyoishi na baba yako. Sio mtoto wa watu unataka akuwekee bundle ya 50K wakati mzee wako hana uwezo hata wa kukutumia buku tano kwa wiki.
Humble yourself and God will raise your status.
Sio kweli wanawake wenye upendo bado wapo, Me wangu nikiumwaga anahaha anakuja na haondoki mpaka nimwambie ww nenda tu nyumban na sim ni kila muda anapiga.Upendo wa aina hiyo ulisha ondoka na mafuta ya yolanda.
We huna wazazi?Matumizi hadi niombe ni red flag tosha kwangu
Umri huu nategemea wazazi are you normal?We huna wazazi?
She's very lucky to have you, km huna, Mungu akupe mke mwema ili uenjoy mahusiano yako. Vijana wengi hawajui raha ya kuwa kichwa ktk uhusiano. Ndo mana wanahangaika km kuku vishingo!Mwanamke anaetaka kuchukua nafasi yangu kama mwanaume, Thats a big turnoff.
Mimi ndo nitatake care familia, nitahakikisha mwanamke wangu nawatoto wangu wanapata kila kitu lakini dont try to take my position, tutagombana vibaya sana