Kwani 29 yalikuwa na viongozi?Mipango butu na hayakuwa na viongoz wanaoratibu
wapiga kelele tupo nao uku onlineAlhamdulilah, Tumsifu Yesu, siku ya leo mitaa imetulia
Leo tunaweza kuiita ni siku ambayo tumekaa ndani tu kupumzika, huko nje kumetulia.
Lakini katika yote haya hatuwezi kusahau kuna maandamano yalipangwa leo D9, ni kipi kimefanya maandamano kudoda.
ndo maandamano hayoWewe kwa akili yako kisoda unaona yamedoda?mpaka sasa polisi jw na wag ambo wanapigwa jua
Maswali ya kipumbavu mnooAlhamdulilah, Tumsifu Yesu, siku ya leo mitaa imetulia
Leo tunaweza kuiita ni siku ambayo tumekaa ndani tu kupumzika, huko nje kumetulia.
Lakini katika yote haya hatuwezi kusahau kuna maandamano yalipangwa leo D9, ni kipi kimefanya maandamano kudoda.
Tr 29 ilikuwa na kiongozi?Mipango butu na hayakuwa na viongoz wanaoratibu