startergear
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 1,756
- 1,955
SASA hujui kwamba huo ndo muda mzuri Kwa Yule jamaa Mwenye jezi ya yanga kutungua mapapai vizuri bila kuonekana? Mtashangaa Tu watu hawaonekani mitaani na no trace leftMuda bado mda wa noma bado subir saa 12 giza liingie
Ile kauli ya jeshi litatulinda ndo iliwaongiza watu barabarani and nothing else.Tr 29 ilikuwa na kiongozi?
Usiku kwa Hao wazee wa Yanga ndo mzuri unakufa kimya kimyaSASA hujui kwamba huo ndo muda mzuri Kwa Yule jamaa Mwenye jezi ya yanga kutungua mapapai vizuri bila kuonekana? Mtashangaa Tu watu hawaonekani mitaani na no trace left
100% wewe ndo umetumia IQ kubwa hata ulinzi usingekuepo watu wasingetoka Kama ile 29/10Sababu kuu ni kwamba wananchi hawana imani tena na jeshi kwamba litachukua nchi
Alhamdulilah, Tumsifu Yesu, siku ya leo mitaa imetulia
Leo tunaweza kuiita ni siku ambayo tumekaa ndani tu kupumzika, huko nje kumetulia.
Lakini katika yote haya hatuwezi kusahau kuna maandamano yalipangwa leo D9, ni kipi kimefanya maandamano kudoda.