Ni sababu ipi inapelekea asilimia kubwa ya wanawake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na bodaboda?

Ni sababu ipi inapelekea asilimia kubwa ya wanawake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na bodaboda?

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda.

kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua.

1648712713776.png
 
Ni kutojiwekea mipaka tu, kuna mmoja aliwahi kuleta mazoea hayo nilimpa kadi nyekundu na nilimwambia direct uteja ufe sababu ya mazoea ya kishenzi uliyoanzisha siwezani na kuendana nayo,
Hongera naamini wanamake mnaojiheshimu mpo wengi tu japo kuna wanawake wachache wanatafunwa kizembe sana na mabodaboda.
 
kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda

kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua
Kwa maoni yangu ni kuwa wanawake wetu wana siri kibao ambazo huenda bodaboda ndio errands boys wao so mazoea
 
kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda

kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua
[emoji38][emoji38] tatizo kuna watu mmejipa standard Sana na moja ya sababu zinazo wafanya mmegewe wake zenu na boda ni hizo dharau zenu.

Bro wanawake hawapendi wanaume wenye dharau hata kidogo.

Mwanamke anaweza akakusamehe zambi ya uchepukaji Ila habari za zarau hakusamehi kamwe na ni ngumu.

So dharau zenu ndio zinawaponza alafu mzee boda boda ni wanaume Kama wewe kwenye mapenzi so punguza dharau
 
kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua
Nadhani ofa ya lifti mara moja moja ndo huwaingiza kingi..
Baada ya kufikishwa kwny destination:-
Wife wa mtu: pesa hii hapa
Bodaboda: wacha tu, leo nimekupa ofa mteja 'angu mrembo!
Wife wa mtu: asante saaana mwaya, ubarikiwe..
Bodaboda: asante, usijali..
Baada ya muda wanabadilishana namba, wanazoeana, wanakuwa marafiki, wanawasiliana mara nyingi...
Bodaboda: ukiona umechelewa niite tu nikufuate!
Wife wa mtu: asante sana!
Na kwa kawaida, urafiki wa paka na panya hauachi panya salama🙄
 
Back
Top Bottom