Ni sababu ipi inapelekea asilimia kubwa ya wanawake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na bodaboda?

Ni sababu ipi inapelekea asilimia kubwa ya wanawake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na bodaboda?

kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda

kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua
Na wa bajaji umewasahau, kuna mama mmoja mme wake alimpenda akampa hadi ndinga tako la nyani avimbe nalo kitaa....ila sasa yule mama alikua analiwa na bajaji driver hatari sana
 
Utakuwa bodaboda wewe... Hahahaaa...
Nadhani ofa ya lifti mara moja moja ndo huwaingiza kingi..
Baada ya kufikishwa kwny destination:
Wife wa mtu: pesa hii hapa
Bodaboda: wacha tu, leo nimekupa ofa mteja 'angu mrembo!
Wife wa mtu: asante saaana mwaya, ubarikiwe..
Bodaboda: asante, usijali..
Baada ya muda wanabadilishana namba, wanazoeana, wanakuwa marafiki, wanawasiliana mara nyingi...
Bodaboda: ukiona umechelewa niite tu nikufuate!
Wife wa mtu: asante sana!
Na kwa kawaida, urafiki wa paka na panya hauachi panya salama🙄
 
sasa mbona anaandika vitu tofauti, kuna boss wa bodaboda na kuna dereva wa bodaboda ambacho hakieleweki ni kipi? mada ni madereva sio hao owners
Yaani bado mnavichwa vigumu kuelewa ...yaani mtu anatafuta mtaji ananunua boda moja kwa uadilifu na heshima ya pesa ananunua nyingine na zinaendelea kuzaliana na kwa boda ukisha kuwa nazo 10 tu ni rahisi mno kila mwezi ikawa unanunua boda moja Ila Hawa jamaa wamewekeza Hadi kwenye bajaji.

Hivyo pamoja na pesa zote hizo bado ni bodaboda bukubuku zenu wanachukua ...Ila siku za weekend ndio utawaona na ndinga zao.
 
Back
Top Bottom