Ni sababu ipi inapelekea asilimia kubwa ya wanawake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na bodaboda?

Ni sababu ipi inapelekea asilimia kubwa ya wanawake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na bodaboda?

...Kua na mda na mkeo halafu mkanye mkeo kua na bodaboda wake, ikibidi mnunulie gari walau basi awe analiwa na mafundi garage ๐Ÿ˜๐Ÿ˜.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Duh!
..unamvusha level ya boda unampelekea fundi gereji๐Ÿ™„
 
kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda

kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua
Wadada wooote wanapenda buree, kama ana boda boda wake ujue hamlipi kwa pesa, atalipwa kwa pochi nyoyaa. Kaa kwa pattern mkuu.
 
Dar es salaam hili jiji utasikia na kuona mengi ya boda boda Ila uwe mtu wa mishe mishe sio unakaa sehemu moja
 
Hapa ndo bodaboda wanapopenyea ..... Unabaki unajiuliza bodaboda amefuzu vipi kwenye playoff ya Ndoa yako [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mwanamke ni mtu wa kulipa fadhila. Ukiona hata mkeo anapanda panda lift ya mjuba jua the clock is ticking
 
hiki ndo chanzo cha mimi kuwa single mpaka hivi leo kitu DHARAU Mungu wangu!!!!![emoji24][emoji24][emoji24]
Mtoto mzuri njoo Pm ubadili wazo la kua single tuwe Multiple in a single R/ship
 
Me nnavojua redcard inatokea baada ya tukio .[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa uzoefu huwa unapewa redcard baada ya tukio,, hiyo Ni kwako wengine Ni kabla ya matukio,, halafu unanichefua we utakavyo fikiria Ni hivyo usinichoshe aisee
 
Nadhan Ni ile nafadi ya maZoea na ukaribu wa kila Mara. Inajenga chemistry Yao[emoji4]
 
Ni kutojiwekea mipaka tu, kuna mmoja aliwahi kuleta mazoea hayo nilimpa kadi nyekundu na nilimwambia direct uteja ufe sababu ya mazoea ya kishenzi uliyoanzisha siwezani na kuendana nayo,
Hakika,
maZoea bila mipaka Ni majanga
 
kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda

kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua
Tunajua kuhonga pia sio mabahili, ila tukiipata hatuwezi kutunza ni ya kuchakatia wanawake walafi, pia tupo muda wote pale watakapo tuitaji iwe kwa usafiri au kutoka nao out,pia tunawaliwaza wake zenu mnapokuwa makazini.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda

kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua
Labda hawataki kulipia usafiri
 
Kabisaa kabisaa!wewe ni Mimi boda boda ibaki kati ya mteja na bosi wako not otherwise

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Mtazamo wa wengi kuwa bodaboda ni mtu duni au?[emoji28]

Jamani boda boda nao ni watu wanahisia na wapo boda smart sana tu.

Kuna boda ni digrii holder lkn wamekosa ajira.
Mtu kama yule ni suala la muda tu naye atakuwa mtu kama watu wengine na heshima zao.
Kigezo isiww ni kazi yao...iwe sababu nyingine.
Mapenzi hanaga adabu huanza popote.

Wengi humu mnawajadili kutokana status zao sio?

Ni jibu mamndogo[emoji16]
 
Back
Top Bottom