Ni sababu ipi inapelekea asilimia kubwa ya wanawake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na bodaboda?

Ni sababu ipi inapelekea asilimia kubwa ya wanawake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na bodaboda?

Ni fahari ya mwanamke kudate na mtu ambaye amemzidi kila kitu kwa mbali kabisa( Pesa,Mali& power) Kwa maana nyingine mwanaume awe juu, mwanaume awe chini.

Huu utafiti wenu mgeni kwangu, labda uzungumzie wanawake wa huko kwenu.
 
Huo utafiti sio wakila mtu eto hasa wanawake wawatu wewe kijana angalia .
Sie tunajieheshimu na ndoa zetu wanaume zetu wanatujulia sana mpaka raha hatuna hamu na aibu kama hizoo.

Kwanza sipati hisia ukinitamkia hivyoo.
 
Wanaopenda vya bure maana yake hana hela ya kutosha.
Demi sio hivyoo shida ni moja unakuta kunawanawake wanapatwaga na haja wakiwa na mwanaume yeyote.

Halafu wengine hawanaga mipaka niyeyote twende , nawengine inawabidi kuwakubali kisa wamesubiri sana wapenzi wao wawatimizie wanachelewa so wao wapo karibu
 
Wanawake hawapendagi kutumia hela kabisa,anaona akitoa hilo tundu ataokoa elfu 60 kwa mwezi

Huku kanda ya ziwa watumishi wa serikali wa kike walikuwa wanaliwa na wavuvi kisa samaki za bure za kila siku

Kuna mtumishi mmoja yeye aliwah olewa na msomba maji kwa mkokoteni,maeneo hayo kulikuwa na tatzo la maji sana,akaona isiwe tabu,tundu halina kazi
 
Demi sio hivyoo shida ni moja unakuta kunawanawake wanapatwaga na haja wakiwa na mwanaume yeyote.

Halafu wengine hawanaga mipaka niyeyote twende , nawengine inawabidi kuwakubali kisa wamesubiri sana wapenzi wao wawatimizie wanachelewa so wao wapo karibu
Inawezekana kabisa...nakuelewa😀
 
Watu hawaelewi ...mwanamke atakusamehe yote Ila dharau hata aje papa akuombee msamaha yaani hauta fanya kitu ....na hasahau kamwe
Utashangaa unaitwa unakiburi sijui unajisikia kumbe ni hiyo DHARAU ulonifanyia
 
C H U M V I N I

L A M B A L O L O

Boda wako vizuri sana hizo area.
 
Hapana naongea hivi kwa sababu ya jamaa zangu ninao fahamiana nao wanafanya kazi hiyo..... weekend wakitulia kwenye halia tako la nyani utawakataa.

Wanabajaji uchafu barabarani hiyo jioni wanavyo panga mstari kuja kuleta marejesho utashangaa.

Lakini chanzo Cha yote hayo ni pkpk
Oya umesema halia tako la nyani eeh ?
😂😂nchi tata sana hii
 
Back
Top Bottom