Ni sababu ipi inapelekea asilimia kubwa ya wanawake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na bodaboda?

Ni sababu ipi inapelekea asilimia kubwa ya wanawake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na bodaboda?

Jamaa angu anamsifiaga San demu wake kuw anajielewa San mpk amekuwa na bodaboda wake apandi boda boda yoyote anakuwana dereva wake so popote aliko anamuita anakuja kumbebe siku moja amekuja geto kumuona jama eti katoka uko kinondoni had huku buza na boda boda wake na boda anamsubiria demu nnje amalize mazungumzo na ss

Nilikuona jamaa alijielewi kbsa San .nilimchallengi demu kuwa Kwann boda azitembee tu wewe tutakutafutia boda nyingine au tuite bolt kbsa alionesha kukasirishwa na hoja zangu bas jmaa nae akadaikia na kusema hpn acha tu amsubirie kwani ameashamzoea boda wake nilikah kimya Hadi leo naona kbsa man ajielewi na Mikasa
 
Jamaa angu anamsifiga San demu wake kuw anajielwa San mpk amekuwa na bodaboda wake apandi boda boda yoyote anakuwana dereva wake so popote aliko anamuita anakuja kumbebe siku moja amekuja geto nikamchora kuja kumuona jama eti katoka uko kinondoni had huku buza na boda boda wake na boda anamsubiria demu nnje amalize mazungumzo na ss

Nilikuona jamaa alijielewi San .nilimchallengi demu kuwa Kwann boda azitembee tu wewe tutakutafutia boda nyingine au tuite bolt kbsa alionesha kukasirishwa na hoja zangu bas jmaa nae akadaikia na kusema hpn acha tu amsubirie kwani ameashamzoea boda wake nilikah kimya Hadi leo naona kbsa man ajielewi na Mikasa
Mkuu unaonekana mbea wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukute hata demu haliwi na huyo boda boda
 
kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda.

kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua.
wanawake wanapenda kitonga mfano kutembea wanaona jau, hawapendi shida, kutongozwa na boda ina mwamvuli wa kutoa aibu na general public hawaezi gundua mtongozo ukifanyika , most women hawana kifua cha mambo yao hasa makwazo, bodaz can notice kama mwanamke ana stress zozote zile, wanawake hawawezi self reliance ya nidhamu ya pesa hasa kubalance daily ikichagizwa na tamaa so bodaz being daily cash generating group cash liquidity inawapa mvuto wanawake shida za elfu1-2-3 solvable, most bodaz are idle youth and an idle mind thinks sex, uraibu pombez , kamali etc.Wengi hawajaoa na ni vijana, lots but it's enough for now, wanawake ni inzi inzi, butua butua na ujiridhishe wewe tu utafarahia maisha visokombwendo
 
unataka uchukue bodaboda mkuu?

Ok, all the best.
 
kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda.

kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua.

Bodaboda ana haki SawA na ww.... Hata usijisumbue na kufanya maamuzi ya manzi Ako kukiwa na boda...... Nenda zako beach weekend tafuta Dem mkali aww mchepuko basi..... Tit for Tat

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Wanawake hawapendagi kutumia hela kabisa,anaona akitoa hilo tundu ataokoa elfu 60 kwa mwezi

Huku kanda ya ziwa watumishi wa serikali wa kike walikuwa wanaliwa na wavuvi kisa samaki za bure za kila siku

Kuna mtumishi mmoja yeye aliwah olewa na msomba maji kwa mkokoteni,maeneo hayo kulikuwa na tatzo la maji sana,akaona isiwe tabu,tundu halina kazi
Tundu tundule😂😂
 
Mkuuu,naomba ufafanuzi juu ya hii kitu inaitwa chemistry ktk mahusiano yakimapenzi,inaonekana nikiungo muhimu Sana ktk mahusiano najua uko vizuri snaa naunaoo uwezo wakulielezea hili lengo unisaidie mkuu,nisije kuoa MTU ambae hatuendani nae chemistry mkuu!

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom