Mkuuu,naomba ufafanuzi juu ya hii kitu inaitwa chemistry ktk mahusiano yakimapenzi,inaonekana nikiungo muhimu Sana ktk mahusiano najua uko vizuri snaa naunaoo uwezo wakulielezea hili lengo unisaidie mkuu,nisije kuoa MTU ambae hatuendani nae chemistry mkuu!